Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Mama D huo ushindi kwani hauwezi kupatikani kwa HAKI mpaka figusi???
Wenye figisu ni hao wanaosambaza habari za chuki na kuchochea hofu mkuu
Tume inafanya kazi zake kwa weledi mkubwa na inasikiliza wananchi na kutatua matatizo kila mara
 
Hawa jamaa ni noma! Kumbe wana taarifa zote mpaka za wakati huu mawakala wetu wanavyosumbuliwa na kunyanyaswa.
Mimi kama mtanzania mpenda haki naunganga na Marekani katika kudai uchaguzi ulio huru na wa haki!

Huu uhuni wote mzee wa visasi ndie muasisi nyuma hayakuwepo haya,wamweke kwenye listi ya magaidi akanyee debe afai kukaa na Jamii ya watu waliostaarabika
 
Habari hii ni mwiba mchungu kwa mkoloni mweusi, chakupimbi, bashiri, chama fulani wakiwamo mataga na buku 7 wote.

Hivi kwa nini madhalimu nyie neno haki hatakulitamka tu hamuwezi?
 
Kateni misaada na mikopo vinginevyo mambo haya kabwe hayatakoma.

Sijui kwanini nchi wahisani wanashindwa kuweka shariti la kutoa misaada na mikopo kuwa ni lazima nchi husika iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na makundi yote.

Ningekuwa na ushawishi, ningeanzisha movement ya kuzitaka nchi tajiri na mashirika ya fedha ya kimataifa kuweka shariti kwamba kila nchi inayotaka msaada au mkopo ni shariti nchi hiyo iwe na Tume Huru ya Uchaguzi inayokubalika na wadau wote wa uchaguzi katika nchi hiyo.

Au kama hili gumu,basi movement yangu nyingine ni kuzishawishi nchi hizi kuweka shariti linaloweza kuwa kama incentive ambapo nchi yenye kuonyesha demokrasia ya kweli kwa kuwa na Tume Huru na Katiba inayokubalika na makundi yote katika nchi kuwa ni moja ya kigezo ncha kwa nchi kupunguziwa au kufutiwa madeni.
Tunaelekea huko huko
 
kwa CCM hapa ni sarakasi tu.... yaani ni betua betua ..... tayari zoezi la kuwaapisha Mawakala lishaingia kidudu mtu ... mara mwapishaji kafunga ofisi, mara muhuri umekosewa, mara barua ya katibu wa chama imekosewa nk

wacha tuone dk bado zipo..... ila this time hakuna msalie mtume - mwaga mboga mwaga ugali - wote tulumangie...dadadeq
Huyu dikteta ametuharibia nchi san
 
Mbona sasa ajaeleza na ushahidi huo wasi wasi wake, huyu mzungu anaanza majungu mapema sana.
Hii habari si nzuri sana kwa sisi tuliozoea kuteka wagombea wakati wanarudisha form, mawakala kuwafungia nje ya kituo siku ya uchaguzi na kukimbia na mabox kagiza giza kakiingia.
 
Back
Top Bottom