US alerts travelers to Tanzania: Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, health issues, and targeting of LGBTI persons

Kenya walipinga hivi hivi, mara vuup Al-shabab wakawashambulia..... Watanzania tuna vichwa vya nazi koroma
 
Unaficha taarifa na unakataa kutoa ushirikiano ukidhani unalinda maslahi ya nchi. Badala yake unajikuta ndio unajitangaza zaidi uonekane una tatizo, na hao uliodhani umewafichia habari ndio wanakuwa watu wa kutangaza usiyotaka watu wayasikie!

Kama hakuna tatizo, na hata kama tatizo ndio linaanza, kuna ubaya gani wa kutoa ushirikiano kwa Shirika kama WHO? Hata kama mtu huyo alikufa kwa Ebola, ikajulikana na kudhibiti sehemu alikopitia kuna ubaya gani?
Watalii wangeendelea kuja tu, wakijua hali inajulikana ilipo na kuna uhakika wa kudhibiti ugonjwa usienee.

Sasa, hao watalii watawekwa woga, kwa sababu tu hatukujua namna ya kushughulikia swala zima la mgonjwa yule.
HATUAMINIKI KWA LOLOTE! Hakuna mtu anyejitoa mhanga kwenda sehemu asiyojua usalama wake upo vipi akiwa huko.
Mkuu wajinga watakupinga na kuishutumu USA wakijidanganya Tanzania ipo salama.. Sometimes nashindwa kuwa elewa Watanzania wenzangu. Comment nyingi zipo kuikandia Marekani na kukana uwezekano wa kinachosemwa na Marekani kuwa cha ukweli. Inasikitisha kuona tunaupinga ukweli ambao tunaoujua. Huu ndio upumbavu wetu Watanzania.
 
Tatizo letu ni wanasiasa hasa jiwe kukumbatia siasa za kuligawa taifa kati ya wapinzani na CCM. Tunashuhudia matendo machafu kabisa yakifanywa dhidi ya baadhi ya raia. Ni wazi kuwa hao Marekani wanatahadharisha raia wao kwa kuzingatia habari na matukio halisi yanayoyokea kwa watu mbalimbali.

Mifano ipo mingi, hasa ya matukio ya utekaji na mauaji ambayo hayajatolewa maelezo yanayoridhisha.

Kama maiti zinaweza kuokotwa kisha polisi wanadai kuna watu wasiojulikana, ni wazi kuwa nchi imekaliwa na magaidi ambayo yamewashinda polisi na majeshi mengine.
Watanzania wakiamua kuwa vipofu na viziwi huwezi kuwabadilisha akili.
 
Mkuu wajinga watakupinga na kuishutumu USA wakijidanganya Tanzania ipo salama.. Sometimes nashindwa kuwa elewa Watanzania wenzangu. Comment nyingi zipo kuikandia Marekani na kukana uwezekano wa kinachosemwa na Marekani kuwa cha ukweli. Inasikitisha kuona tunaupinga ukweli ambao tunaoujua. Huu ndio upumbavu wetu Watanzania.
Mbaya zaidi ni kwamba tumewapa mwanya hao waMarekani kututangaza hata kwa mambo ambayo tusingestahili kutangazwa kuwa tunayo.

Kwa mfano, hilo la uhalifu (crime) na ugaidi (terrorism), haya hatustahili kutangazwa nayo. Kiasi kilichopo hakitofautiani na nchi nyingi duniani.

Kwa hiyo sifa hizo kwa kweli hazituhusu. Lakini, ndio hivyo tena, tumekwishawapa mwanya kwa ujinga wetu wenyewe watutangaze hivyo.

Sasa inabidi tukanushe kwa nguvu, na kwa vile 'credibility' yetu iliyobaki ni hafifu, itabidi tufanye kazi kubwa kujisafisha, bila sababu za msingi.
 
Matatizo yetu makubwa ni haya. Kuzungumzia jambo tusilolifahamu kabisa. Umeangalia takwimu za "Tanzania Tourism Board" ukajiridhisha ni sehemu zipi tunakopatia watalii wengi?

Mbona ni jambo rahisi tu kuzipata taarifa hizi..., au hata hujui kuitumia google?

Do you know well Americans???
Unaweza ukaona kwenye takwimu kuwa watalii wengi wanaozuru Tz ni RAIA wa nchi za Ulaya_ according to their revealed identities, but in actual facts they're American citizens.

Kumbuka ya kwamba Wamarekani wengi sana wanaotalii duniani huwa wanajitambulisha kuwa ni RAIA wa nchi zingine KWA kuogopa kuwa targeted NA maadui zao pamoja NA magaidi.

Nakupa mfano hai, miaka kadhaa iliyopita mimi mwenyewe binafsi niliwahi kufanya kazi na Wamarekani wawili kwenye nchi fulani, lakini siku zote walikuwa wanajitambulisha kuwa wao ni RAIA wa Australia, NA walikuwa NA passport halali za nchi hiyo ya Australia.Nilikuja kugundua hilo wakati mkataba wao WA kufanya kazi ktk nchi ile ulipoisha.
 
Yaani wewe ni kiazi kweli aisee. Hata hujui unaandika nini!
Ulishasafiri wewe? Hapa uwanja wa ndege wetu wanapokuja wamarekani wanajificha na kujitambulisha kuwa ni raia wa ulaya?
Hivi una kiasi gani cha elimu, hadi haya mambo usiyaelewe? Wanapokwenda kuomba visa ya kuja hapa ubalozini kwetu, wanajificha kuwa wao ni raia wa Australia? Halafu unakaza shingo na mfano wa ajabu sana huo.
Nenda Bodi ya Utalii Tanzania, takwimu zote utazikuta hapo.
 
Sikulazimishi kukubali au kukataa nilichoeleza.

But remember, most of the Americans have a dual citizenship. Take it or leave it, is up to you!
 
Halafu utakuta aliye andika hiyo makala ni Mtanzania..!!!! Yaani hajali kama anaadhiri sector ya utalii na kutatokea mazuzu yatashangilia....
Hiyo habari ya "kushangilia" achana nayo. Wanaofanya hivyo bila shaka nao wanazo sababu zao!
Hii ni taarifa ya kuhuzunisha kwa yeyote. Inahudhunisha kwa sababu inatokana na 'ujuha' wetu wenyewe.

Kwa hiyo, unapo andika kuhusu "mazuzu" ukifikiri kwa kina, hata uliodhani kuwa sio "mazuzu" ndio wakawa mazuzu ya kutupa.
 
Wamarekani wazushi sana. Nchini kwao wanauana kila siku lakini hakuna taifa limetoa tamko kukataza watu kwenda Marekani. Lini umeona Mtanzania anachukua bunduki nakuua watu bila sababu kisa amekosa marafiki. Ila Marekani matukio ya mwananchi kuua watu kadhaa kisa stress ni kawaida sana.
Kweli wameamua kuchafua nchi yetu.
 
Yaani wewe ni kiazi kweli aisee. Hata hujui unaandika nini!
Ulishasafiri wewe? Hapa uwanja wa ndege wetu wanapokuja wamarekani wanajificha na kujitambulisha kuwa ni raia wa ulaya?
Hivi una kiasi gani cha elimu, hadi haya mambo usiyaelewe? Wanapokwenda kuomba visa ya kuja hapa ubalozini kwetu, wanajificha kuwa wao ni raia wa Australia? Halafu unakaza shingo na mfano wa ajabu sana huo.
Nenda Bodi ya Utalii Tanzania, takwimu zote utazikuta hapo.

Pia, kutokana na maelezo yako inaonyesha dhahiri kabisa kuwa you're so much ignorant about international traveling, citizenships and passports.
Nakushauri urudi tena shule ukasome kuhusu mambo haya!
 
Sikulazimishi kukubali au kukataa nilichoeleza.

But remember, most of the Americans have a dual citizenship. Take it or leave it, is up to you!
Usidanganye watu mkuu. Hilo la 'dual citizenship' linajulikana. Marekani hawako wengi hao kiasi cha watalii tunaopata hapa kwetu kutoka huko.
 
Pia, kutokana na maelezo yako inaonyesha dhahiri kabisa kuwa you're so much ignorant about international traveling, citizenships and passports.
Nakushauri urudi tena shule ukasome kuhusu mambo haya!
Inanibidi nicheke aisee; kama huoni maajabu ya unayotaka watu wayaamini hapa.

Nimekurahisishia kazi. Nenda Bodi ya Utalii, kaangalie ni wamarekani wangapi wanaokuja hapa bila kujificha. Hili nalo ni kazi kubwa sana kwako kuifanya?
 
Unaficha taarifa na unakataa kutoa ushirikiano ukidhani unalinda maslahi ya nchi. Badala yake unajikuta ndio unajitangaza zaidi uonekane una tatizo, na hao uliodhani umewafichia habari ndio wanakuwa watu wa kutangaza usiyotaka watu wayasikie!

Kama hakuna tatizo, na hata kama tatizo ndio linaanza, kuna ubaya gani wa kutoa ushirikiano kwa Shirika kama WHO? Hata kama mtu huyo alikufa kwa Ebola, ikajulikana na kudhibiti sehemu alikopitia kuna ubaya gani?
Watalii wangeendelea kuja tu, wakijua hali inajulikana ilipo na kuna uhakika wa kudhibiti ugonjwa usienee.

Sasa, hao watalii watawekwa woga, kwa sababu tu hatukujua namna ya kushughulikia swala zima la mgonjwa yule.
HATUAMINIKI KWA LOLOTE! Hakuna mtu anyejitoa mhanga kwenda sehemu asiyojua usalama wake upo vipi akiwa huko.
Wewe mpuuzi unajua impact kwa nchi kutoa taarifa kama hio tena inayomhusu mtu mmoja (hata kama ni kweli)?. Nlijua tu kuna wapuuzi watafurahia hii taarifa. Hii nchi ikikosa watalii unafikiri mapato atakosa Magufuli, think of a bigger picture you Moron.

Hio taarifa inaongelea, ujambazi, kukamatwa mashoga, ugaidi etc.. wewe kama unaishi (assuming sio kina Ngurumo & Mange) unaamini kuna ukweli wowote wa hio taarifa? Kipindi cha Kikwete kulikua na ujambazi kupindukia, je walikua wanatoa travel alerts?

Nlidhani kwenye taarifa yao wangetoa mfano wa shoga moja lililokamatwa recently
 
Imewatahadharisha Wananchi wake juu ya kuongezeka kwa Uhalifu, Ugaidi, sintofahamu katika masuala ya Afya na kuwalenga Watu wanaohusika na mahusiano ya jinsia moja

Imedai Uhalifu wa dhuluma, kama vile kushambulia, unyanyasaji wa kijinsia, ujambazi na uporaji ni kawaida na Polisi wa Tanzania wanaweza kukosa rasilimali kupambana na uhalifu mkubwa

Aidha, imedai vikundi vya magaidi vinaendelea kupanga njama za kushambulia Tanzania na wanaweza kushambulia bila onyo au onyo kidogo, wakilenga Balozi, vituo vya Polisi, Misikiti na sehemu nyingine zinazopitwa mara kwa mara na Wageni

Katika hatua nyingine imesema mnamo Septemba 10, 2019 Shirika la Afya Dunia na Kituo cha Kudhibiti na Kupambana na Magonjwa zilipata taarifa rasmi juu ya kuwepo kwa mtu aliyefariki siku mbili nyuma, na ugonjwa unaodhaniwa ni Ebola na mtu huyo alipokuwa Tanzania alitembelea Songea, Njombe na Mbeya

Lakini pia, tahadhari hiyo iliyotolewa na Idara ya Usafiri ya Marekani imedai Watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wamekuwa wakikamatwa, wakilengwa, wakidhalilishwa na ama wakifunguliwa mashtaka yasiyowahusu na waliokuwa wameshikiliwa wakidhaniwa kujihusisha na mapenzi ya aina hiyo yawezekana walipimwa kupitia njia ya haja kubwa
******

Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, health issues, and targeting of LGBTI persons.

Violent crime, such as assault, sexual assault, robberies, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.

Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.

On September 10, 2019, CDC and the World Health Organization (WHO) were made aware of unofficial reports regarding the unexplained death of a person two days earlier from probable Ebola in Dar es Salaam, United Republic of Tanzania. This individual reportedly traveled around the country while ill, including to the cities of Songea, Njombe, and Mbeya.

Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.

Read the Safety and Security section on the country information page.

If you decide to travel to Tanzania:
  • Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
  • Be aware of your surroundings.
  • Do not leave your food or drink unattended.
  • Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
  • Visit CDC for more information regarding illnesses in Tanzania.
  • Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
  • Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
  • Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter
  • Review the Crime and Safety Report for Tanzania.
  • U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.
********

Aidha, awali Marekani ilitoa tahadhari kwa Wanaosafiri kuja Tanzania kuhusu uwepo wa Ebola, ambapo ilisema

Wale walio Tanzania sasa wakimbile wapi kama Tanzania wanaficha hilo gonjwa baya lengo lao ni nini kwa raia maskini wasio na taaluma ya kujikinga? Ama hilo la jinsia moja halikubaliki
 
Halafu utakuta aliye andika hiyo makala ni Mtanzania..!!!! Yaani hajali kama anaadhiri sector ya utalii na kutatokea mazuzu yatashangilia....
Kwani si kuna watalii wachina wanakuja Tanzania waliotokana na matunda ya Prof Kabudi kwenda china?

Kabudi alikuwa marekani siku za kaaribuni naona anaatumiwa na mabeberu uko sasa
 
Jamani mkienda uko msitumike na mabeberu
T.jpg
 
Back
Top Bottom