US alerts travelers to Tanzania: Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, health issues, and targeting of LGBTI persons

Tatizo letu ni wanasiasa hasa jiwe kukumbatia siasa za kuligawa taifa kati ya wapinzani na CCM. Tunashuhudia matendo machafu kabisa yakifanywa dhidi ya baadhi ya raia. Ni wazi kuwa hao Marekani wanatahadharisha raia wao kwa kuzingatia habari na matukio halisi yanayoyokea kwa watu mbalimbali.

Mifano ipo mingi, hasa ya matukio ya utekaji na mauaji ambayo hayajatolewa maelezo yanayoridhisha.

Kama maiti zinaweza kuokotwa kisha polisi wanadai kuna watu wasiojulikana, ni wazi kuwa nchi imekaliwa na magaidi ambayo yamewashinda polisi na majeshi mengine.
Huu ni ujumbe wa pili wa US kuonya kuhusu Tukio tarajiwa la Ugaidi, achilia mbali la siku za usoni ambapo balozi wa Marekani aliitwa Wizara ya Mambo ya Ndani na kuonywa lkini wamerudia tena. Wenye akili wamenielewa.
 
Kwani si kuna watalii wachina wanakuja Tanzania waliotokana na matunda ya Prof Kabudi kwenda china?

Kabudi alikuwa marekani siku za kaaribuni naona anaatumiwa na mabeberu uko sasa
Kabudi alikuwa na Trump juzi, inamana kaenda kuwambia Nchi yetu haiko salama kiasi hiki. Poor Prof Jalala.
 
Unaficha taarifa na unakataa kutoa ushirikiano ukidhani unalinda maslahi ya nchi. Badala yake unajikuta ndio unajitangaza zaidi uonekane una tatizo, na hao uliodhani umewafichia habari ndio wanakuwa watu wa kutangaza usiyotaka watu wayasikie!

Kama hakuna tatizo, na hata kama tatizo ndio linaanza, kuna ubaya gani wa kutoa ushirikiano kwa Shirika kama WHO? Hata kama mtu huyo alikufa kwa Ebola, ikajulikana na kudhibiti sehemu alikopitia kuna ubaya gani?
Watalii wangeendelea kuja tu, wakijua hali inajulikana ilipo na kuna uhakika wa kudhibiti ugonjwa usienee.

Sasa, hao watalii watawekwa woga, kwa sababu tu hatukujua namna ya kushughulikia swala zima la mgonjwa yule.
HATUAMINIKI KWA LOLOTE! Hakuna mtu anyejitoa mhanga kwenda sehemu asiyojua usalama wake upo vipi akiwa huko.
Akili yako ndogo sana km ubongo wa kobe na wewe unaweza kutuadaa km Huyo Katibu wa WHO pu.....vu
 
Yaani jamaa wanakera basi tu, watu tunaishi very peaceful halafu ndio tunaambiwa kuwa nchi yetu ina uoza wote huo.

Unaweza fikiri hao ni watu wa aina gani.
Kilichitajwa na US hapo ndio hali yenyewe iliyopo, Wapinzani tumeoogia kelele tukaishia jela, nendeni mkawakamate na hao.
 
Wazungu wanatudharau Sana, Sawa !!ni kuwapuuza, Ila mipaka tuilinde na tuweke tahadhari ya ugonjwa huu. Naanza kuwaza juu ya uzushi uliowahi kujitokeza kua Ebola ilitengenezwa na Marekeni ndani ya maabara zao na kupanndikizwa Congo ili kuendelea kudistabilize nchi hiyo. Na sasa wanajaribu kutumia mbinu hio kwetu, majeshi yawe makini kulinda mipaka kabla hatujapandikiziwa gonjwa Hilo kweli kweli!!

Ningekua Raisi ninge jibu propaganda hii Kwa kuunda jopo la wataalamu wana sayansi kuchunguza uwezekano wa kua Ebola ilitengenezwa na mataifa ya mabeberu ili kudistabilize mataifa machanga yenye rasirimali nyingi.
Na hii ikipata covarage ya dunia ingekua jibu tosha.
Mawazo binafsi
 
Wewe mpuuzi unajua impact kwa nchi kutoa taarifa kama hio tena inayomhusu mtu mmoja (hata kama ni kweli)?. Nlijua tu kuna wapuuzi watafurahia hii taarifa. Hii nchi ikikosa watalii unafikiri mapato atakosa Magufuli, think of a bigger picture you Moron.
Jina lako la pili limekukaa vyema sana. Hongera.

Baada ya hapo nikutaarifu tu kwamba hujui unachoandika hapa. Kwani kujitangaza maana yake ni nini? Kwa hiyo kwa vile sisi hatukujitangaza, na badala yake tukatangazwa ndio tutapata watalii wengi? Unasoma kitu hata huelewi kilichoandikwa. Wewe ni 'Ngedere' kweli!
 
Akili yako ndogo sana km ubongo wa kobe na wewe unaweza kutuadaa km Huyo Katibu wa WHO pu.....vu
Umesahau tu kujitangaza hapa kuwa wewe ni "Mzalendo" sana, kwa jinsi ulivyoudhika. Maanake 'wazalendo' wa kisasa inaonyesha kichwani hamna kitu. Hamjui lolote, kazi ni kujitangaza tu 'uzalendo' wenu feki.

Tumia akili, acha mihemuko. Hatufiki popote kama taifa kuwa na watu kama nyinyi ndio muendeshe maisha yetu.
 
Yaani jamaa wanakera basi tu, watu tunaishi very peaceful halafu ndio tunaambiwa kuwa nchi yetu ina uoza wote huo.

Unaweza fikiri hao ni watu wa aina gani.
Peaceful ipi? Hivi huu uharo wako unaweza ukauongea mbele ya familia ya kina Akwilina, Ben, saanane na kina Lissu?
 
Hawa marekani huwa wana hila tu na nchi zet,maana wao huonekana kuandaa mabaya yote yanayotukuta Kisha kujifanya wasaidizi wetu.na ndio maana katibu mkuu wa afya akaanza kulazimisha Tanzania itangaze tu kuwa mna EBOLA yaani Hawa dah
Hivi aliyesaidia Tundu lisu kupigwa Marisasi ni Marekani?
Kupotezwa kwa Ben SAA name,Azory Gwanda,Bila shaka Marekani anahusika!
Uminyaji wa vyama vya siasa USA,anahusika pia!
Utawala wakibabe,majigambo,udhalilishaji wa watumishi wa umma,USA pia anahusika!
Wasiojurikana bila shaka,wametoka USA!
 
Hawa marekani huwa wana hila tu na nchi zet,maana wao huonekana kuandaa mabaya yote yanayotukuta Kisha kujifanya wasaidizi wetu.na ndio maana katibu mkuu wa afya akaanza kulazimisha Tanzania itangaze tu kuwa mna EBOLA yaani Hawa dah
ARV wanatoa wao. Ile pesa ya busker funds inayoendesha idara za afya halmashauri wanatoa wao.
Kutaja machache tu
 
Aisee cha Ajabu hawa marekani wanaweza hata kupandikiza magaidi na virusi vya Ebola halafu kesho wanakuja na kusema unaona tulisha wa alert wakijifanya innocent... Rai yangu kwa serikali ni kukaa nao meza moja tu tuwaulize wanataka nini tz waache kutunishiana misuli na wababe hawa wa Dunia...Halafu why now..
"Why now" hapa ni pa kujiuliza. Ila tatizo ni jiwe
 
SISI TUNASHANGAA KILA MARA TUNATISHIWA TUU!! KUNA NINI KINAKUJA??? NDIO HIVI HIVI UTAKUTA KUMBE KUNA NJAMA ZINAFANYIKA TUANZISHIWE FUJO ILI AMANI ITOWEKE.

EEE ALLAAH TUNAKUOMBA UTUNUSURU NA MAGAIDI RASMI NA PIA HAWA MAGAIDI WANAOJIFANYA WEMA WAKATI WANA MALENGO NYUMA YA PAZIA.


AAMIYN
 
Wewe mpuuzi unajua impact kwa nchi kutoa taarifa kama hio tena inayomhusu mtu mmoja (hata kama ni kweli)?. Nlijua tu kuna wapuuzi watafurahia hii taarifa. Hii nchi ikikosa watalii unafikiri mapato atakosa Magufuli, think of a bigger picture you Moron.

Hio taarifa inaongelea, ujambazi, kukamatwa mashoga, ugaidi etc.. wewe kama unaishi (assuming sio kina Ngurumo & Mange) unaamini kuna ukweli wowote wa hio taarifa? Kipindi cha Kikwete kulikua na ujambazi kupindukia, je walikua wanatoa travel alerts?

Nlidhani kwenye taarifa yao wangetoa mfano wa shoga moja lililokamatwa recently
Mbona husemi mengine?
 
Back
Top Bottom