Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,690
Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin
Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa

Hayo yakitokea
Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv

Putin aagiza jeshi la Urusi lisonge mbele na kuchukua jimbo lote la Zaporizhizhia
 
Lavrov kasema rasmi baada ya Putin kumwambia Trump kwenye simu kwamba Ukraine ilituma drones 91 na Russia ikazidungua zote. Drones hizo zote zilikuwa safarini kwenda kwenye makazi ya Putin.

Trump katoa maoni yake na kasema, "This is not good and bad timing".

Zele ni mjinga sana, utafanya vipi majadiliano na hapohapo waanza kufanya "assassination attempts" kwa Putin au watu walo karibu nae?

Akifanya masihara watam-Pri.....in.
 
Putin hapendi amani. War monger, alipoivamia Ukraine hakuwa ameshambuliwa popote.
 
Oya ila wanangu Putin anajiamini asee. Mbona ni kama matarajio ya wazungu kuangusha uchumi wa Russia na baadae aanguke Putin kwa maandamano ya warusi matarajio haya yanafeli.
Tayari Russia ni nchi namba moja kwa VIKWAZO vya KIUCHUMI duniani. Ajabu ni kwamba katika kipindi hiki uchumi wa Russia umepaa zaidi,
Uzalishwaji wa silaha umepaa zaidi.Russia iliyotegemewa kufa kiuchumi ndani ya miezi mitatu baada ya vita yaani Mei 2022 inazidi kudunda. Russia haionekani ikitetereka kijeshi kwa namna yoyote.
Wazungu hawaelewi wafanye Nini, Kwasasa Putin ndo kwanza ameanzisha igizo jipya kwamba wanataka na kuharibu kushambulia makazi yake.
 
Ni kweli kabisa kuna aina ya ufeliji flani ktk mpango kazi wa vikwazo na njia wanazo zitumia kama Putin anazitambua haraka na kutengua mitego yao, Namuonea huruma sana Zelesnky anazunguka kila mahala lakini jamaa anazidi kuteka maeneo kila uchao, ni jambo gumu sana hilo.
 
Bwana Putin anasema malengo yatatimia kwa nguvu za kijeshi kama yatafeli mazungumzo. Kuna kipindi wamagharibi wakikaa kimyakimya wanajiuliza je tumebakiza Nini kuifanyia Nini Urusi? Wanajibu hakuna! Tufanye Nini sasa. Ndo hapo wanaanza kuomba japo mazungumzo!
 
Kwakweli unaweza kuwa na akili na uwezo mkubwa lakini ukazidiwa na kukosa ujanja, na ndicho kinachotoea sasa Putin amekuwa mjanja sana kuliko wamagharibi walivyo fikiri, naamini ametumia uwezo wake kikamilifu kwa kadiri ya kila wamagharibi wanavyo mfawta wanajikuta wanafeli.
 
Maskini ya Mungu, mwamba Putin anawatafutia sababu ya kuzid kuwatwanga kipondo havi kina Zele boy
 
Sindio 🤣🤣🤣

Wametengeneza scene ili wapate sababu ya kukosa kusuluhishwa
 
Oya ila wanangu Putin anajiamini asee. Mbona ni kama matarajio ya wazungu kuangusha uchumi wa Russia na baadae aanguke Putin kwa maandamano ya warusi matarajio haya yanafeli.
Tayari Russia ni nchi namba moja kwa VIKWAZO vya KIUCHUMI duniani. Ajabu ni kwamba katika kipindi hiki uchumi wa Russia umepaa zaidi,
Uzalishwaji wa silaha umepaa zaidi.Russia iliyotegemewa kufa kiuchumi ndani ya miezi mitatu baada ya vita yaani Mei 2022 inazidi kudunda. Russia haionekani ikitetereka kijeshi kwa namna yoyote.
Wazungu hawaelewi wafanye Nini, Kwasasa Putin ndo kwanza ameanzisha igizo jipya kwamba wanataka na kuharibu kushambulia makazi yake.
PUTIN anazingua sana
 
Back
Top Bottom