#COVID19 Urusi yarekodi vifo 984 ndani ya saa 24 zilizopita

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya utoaji Chanjo kuongezwa.

Vifo 984 vimerekodiwa leo na idadi hiyo ni kubwa zaidi ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko wa COVID-19. Pia, maambukizi mapya 28,717 yameripotiwa.

======

Russia reported a record daily rise in coronavirus-related deaths for the second day running on Wednesday, amid a surge in COVID-19 cases and deaths that has led the Kremlin to demand that authorities speed up the pace of vaccinations.

Russia's coronavirus task force reported 984 coronavirus-related deaths, the highest single-day toll since the start of the pandemic, as well as 28,717 new infections in the last 24 hours.

Source: Reuters
 
eti chanjo 😏
... nyoosha maelezo! Chanjo za kirusi na kichina! EPL si unaona viwanja vinatapika kwa kwenda mbele watu wanafurahia maisha? They were serious and took stern measures against Covid-19.
 
hawa jamaa walishatutangulia acha sisi tufuate mkumbo tu hakuna namna
... nyoosha maelezo! Chanjo za kirusi na kichina! EPL si unaona viwanja vinatapika kwa kwenda mbele watu wanafurahia maisha? They were serious and took stern measures against Covid-19.
maa
 
... nyoosha maelezo! Chanjo za kirusi na kichina! EPL si unaona viwanja vinatapika kwa kwenda mbele watu wanafurahia maisha? They were serious and took stern measures against Covid-19.
Ukisoma agizo la Kremlin linasema kasi ya kutoa chanjo iongezwa inamaanisha chanjo yao inafanya kazi na wengi wa wanaofariki ni wale ambao hawajapata chanjo au hawajapata chanjo kwa usahihi na ukamilifu.
 
Back
Top Bottom