Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

Apige anasubiri nin
 
russia keshagundua janjajanja ya zelensky, alichofanya jana kaamua kufumua reli zote sasahivi hana usafiri wa maji wala reli nafikiri ataanza kutumia njia ya magendo( vichochoroni) kusafirisha siraha.
C17 Globe trotter zitafanya kazi
 
Mrusi wa nkuhungu una mikwara sana, acha kuchukua story za kwenye vijiwe vya kahawa na kuzisambaza kama zilivyo, huyo russia hana huo ubora unajiaminisha kua anao
 
Uyo nae asichoshe vita kaanzisha mwenyewe mambo yameenda kinyume na alivyopanga sasa anapiga mkwala kla mtu iyo vita ya 3 kwa uchumi gan alionao

Alitegemea msaada wa china sasa china anapambana na corona msaada umekosa
Vita ni pesa vita ni uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…