Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Aiseee
Kabisa Mkuu tatizo waTz tumezidi ushabiki kwamba eti China ndo mkombozi wetu kumbe ndo mnyonyaji nambari moja kushinda hata MkoloniHuoni mkataba wa startimes na tbc?china hafai kbs
China wamemaliza vifaru na pembe za ndovu nchini mnakumbuka ujio wa shijiping wa china hapa bongo enzi za jk??
Jamaa aliondoka ilikuja ndege ya boeing kubwa ikajaza meno na vipusa vya tembo na vifaru kutoka kule ngorongoro na serenget
Russia hawezi kuomba msaada marekani kuijenga syria. hizo ni propaganda za marekani na washirika wakeUrusi imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia kamanda wake wa majeshi huko Syria kuomba msaada wa kuijenga Syria ambayo imeharibiwa vibaya kutokana na Vita vilivyoanza tangu mwaka 2011.
Urusi imeeleza kwamba Syria haina uwezo,vifaa Wala nguvu kazi ya kuwezesha Hilo hivyo inajitaji pakubwa msaada wa Marekani. Marekani imeeleza kwamba hilo litakubaliwa iwapo tu Assad ataondoka madarakani ama ufanyike uchaguzi huru na wa haki ambao utasimamiwa na vyombo vya kimataifa.
Umoja wa mataifa unakadiria kwamba kuijenga upya Syria itagharimu zaidi ya Dola Bilioni 250 ($250bn).
Inakadiriwa kua zaidi ya watu laki 5 wamefariki na wengine milioni tano wamekimbia nchi hiyo tangu kuzuka kwa Vita hivyo hapo mwaka 2011.
Russia 'seeking US help' to rebuild war-torn Syria
Assad ana akili kuliko TrumpMarekani haiwezi kukubali kuijenga syria kirahisi sababu inajua mrusi ana maslahi yake pale syria zaidi yake, kukatisha kwa bomba la gesi pale ndio kunamfanya mrusi alilinde kila kukicha ili asije akapata hasara
Uko sawa,Endapo USA au China watajiridhisha kuwa kutoa kwao fedha kutawapa faida basi hawatasita.Utakuta jamaa wana madeni kibao ya vifaa vya vita kutoka RussiaMkuu si tupo hapa,China hatoagi Pesa za bure wale jamaa ni mwendo wa mikopo tu ili ukishindwa kulipa wachukue bandari zako wapige Pesa
Naaah, magezeti kama Foreign Policy, The Nation and The Diplomat.Haha...Au unataka TBC?!
Mkuu, una mahaba na Urusi. Nakubaliana na wewe kwa issue kadhaa lakini sikubalini kuwa Marekani ndo ameharibu peke yake syria. wote walishiriki kuharibu and that's the bottom line. Kuhusu Syria kurudi upya, inawezekana lakini itachukua miaka mingi sana. Mfano halisi, angalia Iraq/Baghdad...mpaka leo bado ina struggle...na levels of damage hazikuwa kubwa kama syria ya leo...Kuijenga kivipi?,hapo mrusi anamuenjoy tu,marekani,sawa na kumwambia,hii nchi mmeiharibu njooni sasa muijenge.
Kawaida marekani kuharibu ikija issue ya kujenga anakwepa.
Marekani sio watu wazuri,wameharibu mji wa Raggah,na hawataki kujenga.
Kote anakoshikilia mrusi na serikali,tayari juhudi zinaendelea za reconstruction,
Iwe,Allepo,eastern ghouter etc
Makampuni ya kiiran,Russia,hapo kazini kuboresha miundombinu.
Na haizidi miaka 5,Syria itarudi upya kama ilivyorudi Beirut
China hana ukombozi wowote bora mzungu mara 100% mzungu ana ubinadamu kiukweli mamilioni ya waafrica wapo ulaya na wanaishi vizur tu na wazungu wamejitahidi mno kuhusu ubaguzi ni km hamna kabisaKabisa Mkuu tatizo waTz tumezidi ushabiki kwamba eti China ndo mkombozi wetu kumbe ndo mnyonyaji nambari moja kushinda hata Mkoloni
Russia ilikuwa inawatetea wakina Assad waijenge wenyeweUrusi imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia kamanda wake wa majeshi huko Syria kuomba msaada wa kuijenga Syria ambayo imeharibiwa vibaya kutokana na Vita vilivyoanza tangu mwaka 2011.
Urusi imeeleza kwamba Syria haina uwezo,vifaa Wala nguvu kazi ya kuwezesha Hilo hivyo inajitaji pakubwa msaada wa Marekani. Marekani imeeleza kwamba hilo litakubaliwa iwapo tu Assad ataondoka madarakani ama ufanyike uchaguzi huru na wa haki ambao utasimamiwa na vyombo vya kimataifa.
Umoja wa mataifa unakadiria kwamba kuijenga upya Syria itagharimu zaidi ya Dola Bilioni 250 ($250bn).
Inakadiriwa kua zaidi ya watu laki 5 wamefariki na wengine milioni tano wamekimbia nchi hiyo tangu kuzuka kwa Vita hivyo hapo mwaka 2011.
Russia 'seeking US help' to rebuild war-torn Syria
Ila bora yupo wazi unakopa unaelewa impact zake kuliko mikopo ya wamagharibi masharti kibao yani unapewa mkopo kama vile wanakupa bure masharti kibao na riba za kuumizaUnadhani hizo industrial parks zitajengwa bure bure?! Mkuu strategy ya China ni kuziingiza nchi masikini kwenye madeni ili aweze kuzicontroll vizuri,kuna nchi (nimesahau jina) China amechukua bandari zao sababu walishindwa kulipa madeni. Ghana tu hapo Wana migogoro na wachina na wanareview project zote za China. Yaani unyonyaji wa China Bora hata ya Mzungu na ukitaka kulithibitisha hili uliza Mtu anayefanya kazi kwa Mchina na kwa Mzungu
Baada ya Marekani Sasa ni zamu ya Ulaya kuombwa msaadaRussia hawezi kuomba msaada marekani kuijenga syria. hizo ni propaganda za marekani na washirika wake
Haya baada ya Mkuu wa Majeshi leo ni zamu ya Rais mwenyewe kuomba msaadaMkuu wa majeshihawezi kuomba msaada wa kuijenga Syria ..hilo nisuala la kidiplomasia...warusi walikuwa na maana yao kuandika barua hiyo..General Gerasimov alikuwa na maana yake
Haya baada ya Mkuu wa Majeshi leo ni zamu ya Rais mwenyewe kuomba msaada
Putin Calls on Europe to Rebuild Syria so Refugees Can Return
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Urusi yeye si ndo alishiriki kuibomoa kwa kiasi kikubwa yeye ndo anatakiwa ahusike kwenye Ujenzi na sio hao EU au USHii sasa ni sahihi kwa Rais kuomba...hata Marekani aliwaomba washirika wake wasaidie kuijenga Irak waliyoibomoa
Sasa Urusi yeye si ndo alishiriki kuibomoa kwa kiasi kikubwa yeye ndo anatakiwa ahusike kwenye Ujenzi na sio hao EU au US
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini hakuomba China, anaweza kushusha mabomu tu,wangeanza kuijenga Syria hasa Allepo ndio waombe msaada. Sasa Trump kagoma.
Alokwambia IRAN kuna njaa mwambie akudanganye tenaAcheni wananchi wa Iran watake Regime change jmn,yaani wao wanakufa njaa halafu nchi yao inatumia mabilioni kufadhili ugaidi na kujenga nchi nyingine badala ya kuendeleza Raia wake.!!! SAD[emoji22]