Urusi yaomba msaada kwa Marekani kuhusu Syria

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
Urusi imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia kamanda wake wa majeshi huko Syria kuomba msaada wa kuijenga Syria ambayo imeharibiwa vibaya kutokana na Vita vilivyoanza tangu mwaka 2011.

Urusi imeeleza kwamba Syria haina uwezo,vifaa Wala nguvu kazi ya kuwezesha Hilo hivyo inajitaji pakubwa msaada wa Marekani. Marekani imeeleza kwamba hilo litakubaliwa iwapo tu Assad ataondoka madarakani ama ufanyike uchaguzi huru na wa haki ambao utasimamiwa na vyombo vya kimataifa.

Umoja wa mataifa unakadiria kwamba kuijenga upya Syria itagharimu zaidi ya Dola Bilioni 250 ($250bn).

Inakadiriwa kua zaidi ya watu laki 5 wamefariki na wengine milioni tano wamekimbia nchi hiyo tangu kuzuka kwa Vita hivyo hapo mwaka 2011.

Russia 'seeking US help' to rebuild war-torn Syria
 
china walisema watasaidia,marekani sidhani kama wataweza kusaidia

Na china lazima asaidie sababu one belt,one road itapita pale
 
Marekani haiwezi kukubali kuijenga syria kirahisi sababu inajua mrusi ana maslahi yake pale syria zaidi yake, kukatisha kwa bomba la gesi pale ndio kunamfanya mrusi alilinde kila kukicha ili asije akapata hasara
 
Urusi imetuma ujumbe kwa Marekani kupitia kamanda wake wa majeshi huko Syria kuomba msaada wa kuijenga Syria ambayo imeharibiwa vibaya kutokana na Vita vilivyoanza tangu mwaka 2011.

Urusi imeeleza kwamba Syria haina uwezo,vifaa Wala nguvu kazi ya kuwezesha Hilo hivyo inajitaji pakubwa msaada wa Marekani. Marekani imeeleza kwamba hilo litakubaliwa iwapo tu Assad ataondoka madarakani ama ufanyike uchaguzi huru na wa haki ambao utasimamiwa na vyombo vya kimataifa.

Umoja wa mataifa unakadiria kwamba kuijenga upya Syria itagharimu zaidi ya Dola Bilioni 250 ($250bn).

Inakadiriwa kua zaidi ya watu laki 5 wamefariki na wengine milioni tano wamekimbia nchi hiyo tangu kuzuka kwa Vita hivyo hapo mwaka 2011.

Russia 'seeking US help' to rebuild war-torn Syria
Basi mimi nikadhani imeomba msaada nguvu ya kijeshi kusaidiwa ningeashangaa sana
 
Ze kokuyo nani aliyesababisha vita ya syria?

Sababu zilikuwa ni zipi?
 
Kuijenga kivipi?,hapo mrusi anamuenjoy tu,marekani,sawa na kumwambia,hii nchi mmeiharibu njooni sasa muijenge.
Kawaida marekani kuharibu ikija issue ya kujenga anakwepa.
Marekani sio watu wazuri,wameharibu mji wa Raggah,na hawataki kujenga.
Kote anakoshikilia mrusi na serikali,tayari juhudi zinaendelea za reconstruction,
Iwe,Allepo,eastern ghouter etc
Makampuni ya kiiran,Russia,hapo kazini kuboresha miundombinu.
Na haizidi miaka 5,Syria itarudi upya kama ilivyorudi Beirut
 
Thibitisha acha store.
 
china walisema watasaidia,marekani sidhani kama wataweza kusaidia

Na china lazima asaidie sababu one belt,one road itapita pale
China hawezi toa Pesa za bure hata siku moja labda kwa mkopo. Je Syria ipo tayari kuchukua mkopo mkubwa kiasi hicho wakati hawajui hatima ya nchi baadae?! Hizo Pesa watarudisha na nn?!
 
amna ataesaidia, kila mtu atawekeza kimkakati tu kulingana na vile atavyoweza nufaika baadae,
Kabisa Mkuu,tena hasa Marekani kwa Sasa ndo yupo Trump ambae hataki hata kusikia Pesa za nchi yake zikajenge nchi nyingine hatokubali kuidhinisha fedha bila kujua maslahi yao ni nini
 
Kuijenga kivipi?,hapo mrusi anamuenjoy tu,marekani,sawa na kumwambia,hii nchi mmeiharibu njooni sasa muijenge.
Kawaida marekani kuharibu ikija issue ya kujenga anakwepa.
Marekani sio watu wazuri,wameharibu mji wa Raggah,na hawataki kujenga.
Kote anakoshikilia mrusi na serikali,tayari juhudi zinaendelea za reconstruction,
Iwe,Allepo,eastern ghouter etc
Makampuni ya kiiran,Russia,hapo kazini kuboresha miundombinu.
Na haizidi miaka 5,Syria itarudi upya kama ilivyorudi Beirut
Si Marekani tu Mataifa makubwa yanaingia mahali fulani kutetea maslahi yao hata huyo Urusi hayupo Syria sababu eti anawapenda Sana wananchi wa Syria ila ni sababu ya maslahi yake yaliyopo huko. Hata Saudia leo hii yupo Yemen sio sababu eti anawapenda sanaaaa wayemen ila yupo pale kupigania na kutetea maslahi kulinda Utawala wao
 
Kuijenga kivipi?,hapo mrusi anamuenjoy tu,marekani,sawa na kumwambia,hii nchi mmeiharibu njooni sasa muijenge.
Kawaida marekani kuharibu ikija issue ya kujenga anakwepa.
Marekani sio watu wazuri,wameharibu mji wa Raggah,na hawataki kujenga.
Kote anakoshikilia mrusi na serikali,tayari juhudi zinaendelea za reconstruction,
Iwe,Allepo,eastern ghouter etc
Makampuni ya kiiran,Russia,hapo kazini kuboresha miundombinu.
Na haizidi miaka 5,Syria itarudi upya kama ilivyorudi Beirut
sio simple hvyo mkuu
 
amna ataesaidia, kila mtu atawekeza kimkakati tu kulingana na vile atavyoweza nufaika baadae,
hata kama china ikiwa ma maslahi yake lakini kasema watatoa fedha za kuisaidia kuijenga tena syria
 
Mkuu si tupo hapa,China hatoagi Pesa za bure wale jamaa ni mwendo wa mikopo tu ili ukishindwa kulipa wachukue bandari zako wapige Pesa
 
kama moto unavyowaka huko sri lanka, thailand wameamua kupunguza baadhi ya projects wakati Myanmar wao wameamua kureview miradi yote ya belt and road maana swala la debt trap lishakuwa taabu
 
Back
Top Bottom