Urusi yaomba msaada kwa Marekani kuhusu Syria

Mkuu si tupo hapa,China hatoagi Pesa za bure wale jamaa ni mwendo wa mikopo tu ili ukishindwa kulipa wachukue bandari zako wapige Pesa
hakuna anayetoa pesa za bure kweli,lakini na vile vile syria atafaidika sana kwa huo mpango,post ya kwanza nimekuambia kabisa china anajua pale one belt,one road itapita kwa hiyo lazima atupe pesa zake na si kwamba akiwekeza pale syria atapata hasara hapana atafaidika tu

maana xi jinping alisema wataanza na 2 billion dollars kwa ajili ya kujenga industrial parks sasa hapa wa syria hawatapata faida na ajira

na uzuri hela china ipo
 
Assad akikubali kuvunja mahusiano na iran anaweza kapata misaada kutoka saudia na UAE.
kweli lakini sio lazima kupata misaada kule, maana kuna watu wanawezs kumpatia misaada bila masharti ya kijinga kama haya

Yani siwezi kukusaidia mpaka uache urafiki na mtu fulani duuh
 
wale hawawez kuja hilo liko wazi, hapa ni china ndio atakuwa mchangiaji mkubwa na EU kama watacompromise baadhi ya mambo ataingia
 
kama moto unavyowaka huko sri lanka, thailand wameamua kupunguza baadhi ya projects wakati Myanmar wao wameamua kureview miradi yote ya belt and road maana swala la debt trap lishakuwa taabu
Uzuri wa china akitoa misaada hana mambo ya masharti ya ajabu kama vile kuingilia mambo ya ndani ya nchi

Marekani anaweza kukuambia ubadilishe utawala ili akupe misaada au ukiwa tu element za dictatorship hawezi kukupa misaada

Ila yeye china hawezi kukuambia chochote hata kama huna democracy au una dictatorship ya aina yeye mpunga atakupa tu

Na hii ya kutoingilia internal affairs za watu inafanya mataifa mengi machanga na yanayoendelea yaegemee misaada kwa china na hii itaifanya china kua na influence kubwa sana miaka ya baadae

Hata mbadala wa IMF na world bank,zile bank zilizoanzishwa china mataifa mengi yamezifuata ikiwepo hata ya ulaya
 
Hawezi kukubali lakini hakuna nchi itampa msaada bila masharti. Marekani masharti yao ni asad atoke kabisa madarakani.
Na assad pale hawezi kutoka na uzuri ni kwamba china ambaye huwa haingilii internal affairs za nchi za watu kwenye kutoa misaada watawapa wa syria msaada

kuibuka kwa nguvu za kiuchumi kwa china kumeleta umuhimu mkubwa sana kwa siasa za dunia na amani vile vile
 
Assad akikubali kuvunja mahusiano na iran anaweza kapata misaada kutoka saudia na UAE.
Aah,wapi,kwanza Syria hawezi vunja uhusiano na Iran,hata ukiwaahidi matrilioni,wale sio wanafiki,labda aje utawala mwingine na siyo Assad.
Pili,juzi tu United Arab Emirate tayari walikuwa wanafanya renovation katika ubalozi wao Damusca,tayari kwa kufunguliwa wiki hii,kwa ufupi wananyatia nyatia tenda za ukarabati,ambao ni huge opportunities za kibiashara
 
Uzuri wa china akitoa misaada hana mambo ya masharti ya ajabu kama vile kuingilia mambo ya ndani ya nchi

Hata mbadala wa IMF na world bank,zile bank zilizoanzishwa china mataifa mengi yamezifuata ikiwepo hata ya ulaya
yeah sure
 
Hawezi kukubali lakini hakuna nchi itampa msaada bila masharti. Marekani masharti yao ni asad atoke kabisa madarakani.
situation ni complex sana ila itambidi tu kucompromise baadhi ya mambo maana hamna jinsi,kuantagonize moja kwa moja marekani ina maana unajiandaa kuishi km cuba,iran ama north korea maana jamaa huwa hawachoki kukukazia hata miaka 60 na zaidi, hiki ndcho putin anajaribu kumuepusha assad ndio maana unaona mialiko km hii na marekani na ulaya kushirikishwa kwe baadhi ya mambo coz kiukweli ukiwaisolate america na ulaya huwez toboa huu ndio ukweli mchungu
 
wabomoe wao afu waombe USA isaidie KUJENGA [emoji15] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Screenshot_2018-08-05-21-17-03.png
 
hakuna anayetoa pesa za bure kweli,lakini na vile vile syria atafaidika sana kwa huo mpango,post ya kwanza nimekuambia kabisa china anajua pale one belt,one road itapita kwa hiyo lazima atupe pesa zake na si kwamba akiwekeza pale syria atapata hasara hapana atafaidika tu

maana xi jinping alisema wataanza na 2 billion dollars kwa ajili ya kujenga industrial parks sasa hapa wa syria hawatapata faida na ajira

na uzuri hela china ipo
Unadhani hizo industrial parks zitajengwa bure bure?! Mkuu strategy ya China ni kuziingiza nchi masikini kwenye madeni ili aweze kuzicontroll vizuri,kuna nchi (nimesahau jina) China amechukua bandari zao sababu walishindwa kulipa madeni. Ghana tu hapo Wana migogoro na wachina na wanareview project zote za China. Yaani unyonyaji wa China Bora hata ya Mzungu na ukitaka kulithibitisha hili uliza Mtu anayefanya kazi kwa Mchina na kwa Mzungu
 
kama moto unavyowaka huko sri lanka, thailand wameamua kupunguza baadhi ya projects wakati Myanmar wao wameamua kureview miradi yote ya belt and road maana swala la debt trap lishakuwa taabu
Baadhi ya nchi zimeanza kuamka kuona ufedhuli wa huyu Mchina. Kule South China Sea anasema robo tatu yote ni yake kila siku migogoro na jirani zake,hapo ndo bado hajawa superpower akija kua itakuaje
 
Unadhani hizo industrial parks zitajengwa bure bure?! Mkuu strategy ya China ni kuziingiza nchi masikini kwenye madeni ili aweze kuzicontroll vizuri,kuna nchi (nimesahau jina) China amechukua bandari zao sababu walishindwa kulipa madeni. Ghana tu hapo Wana migogoro na wachina na wanareview project zote za China. Yaani unyonyaji wa China Bora hata ya Mzungu na ukitaka kulithibitisha hili uliza Mtu anayefanya kazi kwa Mchina na kwa Mzungu
kwa hiyo bora marekani anayeingia kwa vita au huyo mnyonyaji china na anayejenga miundo mbinu

maana wazungu wao ni fitina tu,wame fitini libya sasa hivi watu wanakufa,walifitini iraq sasa hivi watu wanaangamia tu na bado nchi nyingi wanazidi kuzifanya hivyo ni bora hata huyo mchina mnyonyaji lakini haleti mavita vita

umejengewa bandari umepewa mkopo wa reli kama vile ule wa kenya sasa unaposhindwa kuuendesha kwa faida ili urudishe fedha hapo ni ujinga wa nani?na hapo huwezi kuwalaumu china

hivi hapa tanzania tungekua na akili nzuri tilivyojengewa reli ile ya tazata tena nafikiri ilikua ni bure kaam sio mkopo wa masharti nafuu na tumeua ule mtaji na miundombinu yenyewe je hapa tutamlaumu china

na kama tungalikua na akili nzuri leo hii tazara ingetuletea faida nzuri na tungeweza hata kuibadilisha na kua reli ya kimataifa

ukienda kwenye karakana ya reli ya tazara ya pale karibu na ifakara unaweza ukalia kabisa yani panafugiwa mbuzi na wakati palikua ndio sehemu ambayo hadi engine zinatengenezwa,sasa hata hizo bandari tusipotumia vizuri ni kweli china atachukua tu

ila china ni bora kuliko marekani
 
@thekokuyo ni shabiki mno wa marekani,beyond reasoning.....
 
Unadhani hizo industrial parks zitajengwa bure bure?! Mkuu strategy ya China ni kuziingiza nchi masikini kwenye madeni ili aweze kuzicontroll vizuri,kuna nchi (nimesahau jina) China amechukua bandari zao sababu walishindwa kulipa madeni. Ghana tu hapo Wana migogoro na wachina na wanareview project zote za China. Yaani unyonyaji wa China Bora hata ya Mzungu na ukitaka kulithibitisha hili uliza Mtu anayefanya kazi kwa Mchina na kwa Mzungu
Bora hats hawa walijengewa bandari kwa mkopo,wakashindwa kulipa inabidi mchina akae pale kufidia.
Marekani wao bandari wanawakabidhi waarabu waziendeshe
 
United Arab Emirates Firm May Oversee 6 U.S. Ports

TOOLBOX
font_resize_small.gif
font_resize_medium.gif
font_resize_large.gif
Resize
Print

E-mail
Reprints

By Ted Bridis
Associated Press
Sunday, February 12

A company in the United Arab Emirates is poised to take over significant operations at six American ports as part of a corporate sale, leaving a country with ties to the Sept. 11, 2001, hijackers with influence over a maritime industry considered vulnerable to terrorism.
The Bush administration considers the UAE an important ally in the fight against terrorism since the suicide hijackings and is not objecting to Dubai Ports World's purchase of London-based Peninsular and Oriental Steam Navigation Co.
ad_label_leftjust.gif

The $6.8 billion sale could be approved Monday and would affect commercial port operations in New York, New Jersey, Baltimore, New Orleans, Miami and Philadelphia.
DP World said it won approval from a secretive U.S. government panel that considers security risks of foreign companies buying or investing in American industry. The U.S. Committee on Foreign Investment in the United States "thoroughly reviewed the potential transaction and concluded they had no objection," the company said in a statement.
The committee, which could have recommended that President Bush block the purchase, includes representatives from the departments of Treasury, Defense, Justice, Commerce, State and Homeland Security.
The committee action followed concerns expressed by a Miami-based company, Eller & Co., according to Eller's lawyer, Michael Kreitzer. Eller is a business partner with the British shipping giant but was not in the running to buy the ports company.
 
Bora hats hawa walijengewa bandari kwa mkopo,wakashindwa kulipa inabidi mchina akae pale kufidia.
Marekani wao bandari wanawakabidhi waarabu waziendeshe
Marekani ni pure capitalist country wao kinachoangaliwa ni faida kwanza,ila hao bandari kachukua mchina na fedha yote (labda asilimia ndogo Sana ndo inaenda serikakini)inaenda kwa Mchina kufidia Deni lake.
 
Back
Top Bottom