Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Huyu ni kawaida yake kuchukulia masuala yanayo husu Urusi kijuu juu tu, hana habari kwamba Utusi ni taifa kubwa - EU na USA wakijitia kujua hili Warusi wanajua lile tena la kuwatia adabu mabeberu washenzi, hana hata habari kuhusu sanctions ambazo mabeberu wenyewe wanaziondoa dhidi ya Urusi kimya kimya baada ya vyuma kukaza.Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Mara nyingi ukuhoji kwamba, je, unajua kwamba Ukkraine ni Taifa kubwa kieneo barani Ulaya save Russia, mpaka sasa hujawahi kunipatia jibu la maana zaidi ya nyimbo za shauri moyo kwa nyumba za Tumbako huko Nairobi, je unaweza kulinganishaukubwa wa Ukraine na North VietNam - how long didi it take your demi God. to be defeated by a rag tag army in North VietNam 20 years, halafu wewe unatujia na adithi zako za Abnwasi eti "Warusi wanaendeshwa puta na Waukraine wakisaidawa na NATO kwa kificho." Wame achieve nini mpaka sasa - ni wewe tu unayetujia na stori za kutoka site moja ya propaganda iliyo jaa picha na vdeo clips fake na wasemaji majenerali walaghai wa jeshi la Ukraine - tutashinda kesho,tutashinda kesho -siku zina kwenda.Apigwe na nyundo kabisa aachie kudhulumu kataifa kadogo hapo jirani yake, ifike mpate aibu, sijui mnamuabudu mtume wenu Putin, ana nini mpaka mjitoe ufahamu....
Mara nyingi ukuhoji kwamba, je, unajua kwamba Ukkraine ni Taifa kubwa kieneo barani Ulaya save Russia, mpaka sasa hujawahi kunipatia jibu la maana zaidi ya nyombo za shauri moyo kwa nyumba za Tumbako huko Nairobi, je unaweza kulinganishaukubwa wa Ukraine na North VietNam - how long didi it take your demi God. to be defeated by a rag tag army in North VietNam 20 years, halafu wewe unatujia na adithi zako za Abnwasi eti "Warusi wanaendeshwa puta na Waukraine wakisaidawa na NATO kwa kificho." Wame achieve nini mpaka sasa - ni wewe tu unayetujia na stori za kutoka site moja ya propaganda iliyo jaa picha na vdeo clips fake na wasemaji majenerali walaghai wa jeshi la Ukraine - tutashinda kesho,tutashinda kesho -siku zina kwenda.
Una ujuzi gani katika masuala ya cartography??? Huna hata habari kwamba wapo watu wanalipwa ku- distort mataifa fulani yaonekaneSheikh umeibuka, angalia hii picha mara mbili upate aibu....
madhara ya ccmu hayo ebu amka ndugu , mafuta yanafika tsh 6000/= baadhi ya maeneo hapa dsm ni tsh 3200/= je nayo ni Urusi?Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Una ujuzi gani katika masuala ya cartography??? Huna hata habari kwamba wapo watu wanalipwa ku- distort mataifa fulani yaonekane madogo au makubwa
Huku Afrika mnaumia kwa sababu ya ujinga wenu na wa viongozi wenu.Umesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Una ujuzi gani katika masuala ya cartography??? Huna hata habari kwamba wapo watu wanalipwa ku- distort mataifa fulani yaonekane
Kila nikikumbka huu msafara ulivyo nyofolewa na wabeba javelin, nacheka sana, vita vya leo vinahitaji akili sio hizi mbinu za kijinga za WII
Ndio maaa Nakwambiaga kwamba akili zako wewe MK-254 unazijuaga wewe mwenye!!HTttivi ATGM inayo bebwa na mwana jeshi mmoja inaweza kuipua vifaru vingapi at a go? Unaweza kulinganisha uwezo wake na a four muzzled Russian Cornet ATGM au Russian no nonsense chopper gunship, mimi niliona kifaru kimoja kimoja kikilipuliwa nia hilo halikuzuhia msafara kuendelea na safari ya kwenda Belarus - msafara karibu wote uliwasiri Belarus almost intact - kama wataalamu wa masuala ya jeshi waavyo sema msafara huo ulitumiwa na jeshi la Urusi kama DECOY kuwachota akili NATO na specifically the USA wafikirie kwamba Warusi wako mbioni kuuteka mji wa Kiev wakiwa na wanajeshi wasio zidi 120,000, hivi inaingia akilini kwamba mji unao kaliwa na watu karibu million nne unaweza kutewa na kukaliwa na wanajeshi wasio zidi 120,000!! Ulaghai mtupu.
Urusi anaingaje kwenye Lita sh 3500? Acha uongo nchi yenu Haina Dola sio issue ya urusiUmesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.
Una ujuzi gani katika masuala ya cartography??? Huna hata habari kwamba wapo watu wanalipwa ku- distort mataifa fulani yaonekane
Mambo ya kitoto toto kila saa, sawa msafara ni mrefu sana sasa tuonyeshe video clips ambazo walao Javellin moja ilikuea inalipua kifaru zaidi ya kumoja na kuzuia msafara usimame - sisi tulikuwa tunaona msafara unaendelea kama kawaidi vinalipuliwa vifaru kimoja au viwili,lakini sio kwa wingi kivile mambo yote yalikuwa yanaonekana kwenye luninga bwana, damage ya zana za kivita za Urusi ulikuwa ndogo sana ndio maana zana karibu zote pamoja na wanajeshi wa Urusi waliwasili nchini Belorussian bila wasi wasi.Kila nikikumbka huu msafara ulivyo nyofolewa na wabeba javelin, nacheka sana, vita vya leo vinahitaji akili sio hizi mbinu za kijinga za WII
Mambo ya kitoto toto kila saa, sawa msafara ni mrefu sana sasa tuonyeshe video clips ambazo walao Javellin moja ilikuea inalipua kifaru zaidi ya kumoja na kuzuia msafara usimame - sisi tulikuwa tunaona msafara unaendelea kama kawaidi vinalipuliwa vifaru kimoja au viwili,lakini sio kwa wingi kivile mambo yote yalikuwa yanaonekana kwenye luninga bwana, damage ya zana za kivita za Urusi ulikuwa ndogo sana ndio maana zana karibu zote pamoja na wanajeshi wa Urusi waliwasili nchini Belorussian bila wasi wasi.
Sisi wananchi wa kuanzia Igunga, Lunzewe,kakonko, lusaunga na Rwamgasa tutaanza kupata mafuta ya magari kutokea GamboshiUmesahau kwamba kila Urusi anapopigwa Spana eneo fulana naye anapiga Spana kubwa zaidi kwa Wanaulaya na Madhara tunapata na sie Vidagaa. So kamwe sie WanaUlaya wa Kakonko hatuna haja kuchekelea spana anazopigwa Mrusi maaana naye atakaa anaona akaze Vyuma Engo ipi ili tuumie wote. So kaa kwa kusubiri maumivu maaana Mafuta tayari unanunua 3,500/= kwa Lita unaendelea kukenua tu.