EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Halafu hawahawa Turkey ndio walitoa dozens of drones kwa Ukraine 😂😂😂😂 hii vita kama maigizo
Wakati west wakiendelea kuhakikisha vita haviishi na watu hawapatani China yeye kaendelea kupambana kuhakikisha walio gombana wanapatana! Urusi yeye kaamua kuhakikisha anasaidia majirani zake wapate teknolojia ya nyuklia!
NB: Urusi imesamehe madeni makubwa yaliyokua yanazikabili nchi za Afrika, na wewe unaye pinga Mrusi jua nchi yako imesamehewa deni!!
Link: Erdogan thanks Putin for his help on Turkish nuclear plant