Urusi yaisaidia Uturuki kujenga mtambo wa nyuklia

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Wakati west wakiendelea kuhakikisha vita haviishi na watu hawapatani China yeye kaendelea kupambana kuhakikisha walio gombana wanapatana! Urusi yeye kaamua kuhakikisha anasaidia majirani zake wapate teknolojia ya nyuklia!

NB: Urusi imesamehe madeni makubwa yaliyokua yanazikabili nchi za Afrika, na wewe unaye pinga Mrusi jua nchi yako imesamehewa deni!!

Link: Erdogan thanks Putin for his help on Turkish nuclear plant
 
NB: Urusu imesamehe madeni makubwa yaliyokua yanazikabili nchi za Afrika, na wewe unaye pinga Mrusi jua nchi yako imesamehewa deni!!

Link: Erdogan thanks Putin for his help on Turkish nuclear plant
kwahiyo unasahau misaada ya wazungu ghafla tu , kuwa hujatumia dawa za USAIDs au vitabu either wewe au mwanao au wote mmetumia vyenye USAIDS , chanjo mbalimbali bila kusahau pesa ya covid19 mliyopeleka kujengea vyoo
 
Urusi sio wachoyo kama USA.
Kama USA ingekua pekee ndio yenye tech ya safari za anga na mambo ya nuke hakuna nchi nyingine ingejua hayo.
Urusi ndio iliisaidia china kwenda anga za juu.
 
Unaongelea choo cha milioni 10 mimi naongelea misaada ya mabilioni ambayo Urusi imesamehe nchi yako maskini.
 
Urusi sio wachoyo kama USA.
Kama USA ingekua pekee ndio yenye tech ya safari za anga na mambo ya nuke hakuna nchi nyingine ingejua hayo.
Urusi ndio iliisaidia china kwenda anga za juu.
muda hatari ukifika mtarud kumlalamikia si mnaona USA wapuuz , kama watu wakipewa A47 wanauana , sipati picha wakiwa na nyuklia , ni swala la muda tu ataumia mtu kwenye huu ulimwengu , Mrudi alitoa A47 tukaunda vikundi vya ugaidi , leo anatoa technology ya nyuklia , sijui kitafuata nini ?
 
Kwa hiyo kama Urusi wasingetoa tech ya AK 47 na kuuza bunduki hiyo watu wasingeuana?
 
muda hatari ukifika mtarud kumlalamikia si mnaona USA wapuuz , kama watu wakipewa A47 wanauana , sipati picha wakiwa na nyuklia , ni swala la muda tu ataumia mtu kwenye huu ulimwengu , Mrudi alitoa A47 tukaunda vikundi vya ugaidi , leo anatoa technology ya nyuklia , sijui kitafuata nini ?
Kuna nchi zaidi ya 20 Zina silaha ya nyukilia,je nchi Gani katika hizo imewahi kuitumia silaha hiyo dhidi nchi nyingine?
 
NB: Urusi imesamehe madeni makubwa yaliyokua yanazikabili nchi za Afrika, na wewe unaye pinga Mrusi jua nchi yako imesamehewa deni!!
Hayo madeni yalikuwa makubwa kiasi gani ?....huo ni msamaha au sehemu ya siasa za kutafuta kuungwa mkono kwenye majukwaa ya kimataifa ?
 
Mbona ukrine Ina nyukilia toka zamani sana hata kabla ya nchi nyingi kua nazo?
Ukraine ina kinubkikubwa Cha nyukilia kuzidi nchi yoyote ulaya.
Hicho kinu kwa sasa ni mali ya Urusi (baada ya kura za wananchi kujiunga Urusi).
 
Hayo madeni yalikuwa makubwa kiasi gani ?....huo ni msamaha au sehemu ya siasa za kutafuta kuungwa mkono kwenye majukwaa ya kimataifa ?
Madeni ya Africa yalikuwa Dola billion 20
 
Back
Top Bottom