Urusi wazuiwa kutumia dola

Kwa hiyo wewe unadhani kwamba Warusi hawaku anticipate yote hayo?
 
congo kapewa ofa na mrusi kuwa amruhusu aende pambana na yale makundi ya kigaidi... DRC wapo wana fikiria ofa hiyo... askari wa ukraine wakati wana ondoka kurejea kwao kupambania nchi yao walisindikizwa na zomea, matusi, mawe etc kutoka kwa raia wa DRC
 
🤣🤣

Korea Kaskazini imepigwa pini kote ila bado ipo na inaunda tu zana kubwakubwa.....

Yaani mtu akupigishe magoti na kukufanya atakavyo kisa tu ya nguvu na utajiri wake...si ujuha ,uhobobo na usakala huo.....
 
Huyo ndio wale ambao wazee wa CNN ,MSNBC ,SKY NEWS ,FOX NEWS wanavimbisha matumbo huko ughaibuni kwa kazi njema ya kuzidi "kuwateka kifikra" kila uchao.....
 
 
🤣🤣

Korea Kaskazini imepigwa pini kote ila bado ipo na inaunda tu zana kubwakubwa.....

Yaani mtu akupigishe magoti na kukufanya atakavyo kisa tu ya nguvu na utajiri wake...si ujuha ,uhobobo na usakala huo.....
Korea kaskazini bajeti yote sehemu kubwa inaishia jeshini na kwenye. Maonyesho ya kijeshi

Wananchi wana maisha magumu mno

Hata ukienda kutalii ni guided tour unaonyeshwa sehemu zile tu wanataka wao
Zinazoonyesha good image ya korea

Hata picha ni guided huwezi mpiga picha hovyo hovyo .Unaambiwa piga hapa na wanakagua ulichopiga
 
Bora wange baki Congo huko wana angamia angalia walivyo angamizwa hapa walidhani kifaru ni cha kwao kumbe ni cha Urusi kika wamaliza kizembe!
 

Attachments

  • VID_20220411_072915_988.mp4
    3.5 MB
Kwa hiyo wewe unadhani kwamba Warusi hawaku anticipate yote hayo?
Hawa ku anticipate kabisa.Walizoea kuvamia nchi kuteka majimbo na hakuna yeyote alichukuwa hatua kama hizo.Putin alitamba hadi kwenye hotuba yake alipoulizwa hilo akasema wameshafanya hivyo maeneo mengi na hakuna mtu aliwafanya chochote
 
Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Mh wamefunga account ya mtu binafsi kwa sababu ya tu ya kuwa raia wa Russia?
 
Ahahaaaah!
Umetumia nguvu kubwa sana mkongwe, kuna wakati watu wa aina hii unawapa "like" tu, then unaendeleaje na mambo mengine.
 
Kwani kuna nchi utatembelea kiutalii na utaachwa ujiendee popote tu ?!!!

Huku kwetu Afrika tu kuna maeneo ya MIZIMU hawaendi watalii.....kwanini isiwe huko NK na kwengineko?!!!!

Nikienda mizimuni nitakualika twende wote tupige tripu halafu utasikia mwenyewe kama kuna wasiohitajika hufika huko 🤣🤣

Hao wananchi wa NK walikuomba mikate baada ya kuyaona maisha yao magumu ?!!!
 
karibia Ukraine ina kwenda kukosa eneo la bahari wana kuwa tu kama Uganda! watu sijui wana ichukulia Urusi kama nchi gani sijui! wata fanya biashara kama kawaida na hakuna ata kaye zuia meli zao ebow

 
Hiyo nikuanzia lini? Maana nimepokea USD kutoka Russia ijumaa iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…