Vita zote mrusi alikuwa alivamia nchi za watu na kuteka majimbo yao raia wa kawaida waliendelea tu na maisha yao sababu hawaku feel chochote life iliendelea kama kawaidaNina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
Not Your Right ni You’re Right au You are RightNgoja tuseme hivi, ok your right.
Thank you so much mr Englishman, Finland amejiunga nato juzi kama ulivyoandika?Not Your Right ni You’re Right au You are Right
Kuna jamaa anasema urusi sio zimbabweIle nchi sio muda itakuwa kama Zimbabwe
😂😂😂😂Uko sahihi
Aisee!Ile nchi sio muda itakuwa kama Zimbabwe
Taira kweli wee jamaa kuna jela zilizojaa kama za US Kwa nchi ziliozoendelea izi sanction hazitazidi miaka miwili aslimia 50 ya hizi sanctions zitatolewa na Putin hatoki madarakani wewe bwabwaja apa utasema ata biashara ya viazi unayoVita zote mrusi alikuwa alivamia nchi za watu na kuteka majimbo yao raia wa kawaida waliendelea tu na maisha yao sababu hawaku feel chochote life iliendelea kama kawaida
Sasa Russia akajiona kidume ukianzisha vita kuteka majimbo nchi za watu hakuna wa kumfokea au kumfanya chochote eneo lolote ndani ya nchi na nje ya nchi akavimba kichwa
Sasa nchi za Magharibi zimeweka vikwazo ambavyo raia wa kawaida ataamka usingizini na kumlaani Putin na kuchukua hatua dhidi yake.Sababu kama hawaguswi na hiyo athari watanwacha tu Putin aendelee kusumbua nchi za watu na kuteka majimbo yao na kuyafanya sehemu ya Urusi Vikwazo kazi yake mojawapo ni kujenga internal resistance ya raia wa kawaida dhidi ya utawala uliopo Madarakani Putin sasa hivi majela yamejaza waandamanaji wanaipinga vita ya Ukraine wanaoumizwa na vikwazo
Nchi zote hizo Korea, Iran na Cuba hakuna iliyozuiwa kutumia dola usifananishe ni vikwazo kawekewa urusi.Hao hawanaAisee!
Hivi unaijua vizuri Urusi?
Kuna nchi ndogo sana kwa Urusi Zina vikwazo toka mama Yako hajazaliwa lakini Zinaambo mazito kuliko nchi kadhaa za ulaya.
Unaijua Cuba?
Unaijua Iran?
Na unaijua Korea Kaskazini?
Hizi ni nchi ndogo sana kwa Urusi.
Sasa Urusi ndo nchi inayoongoza duniani kwa eneo kubwa,
Inaongiza Dunia kwa rasilimali,
nina rafiki yangu mrusi alikuwa mapumzikoni zenji karibu mwaka mzima, kaondoka juzi kwenda kwao... jana nime wasiliana nae amefika salama moscow...Nina shemeji yangu Mrussia kwa mdogo wangu,
Yuko bongo mpaka leo,ilikuwa arudi Russia toka Feb
Ila ndo hivyo,Account zote zimefungwa,imebidi a extend Visa kuendelea kubaki hapa,kifupi hizi sanctions zinawaathiri raia wa kawaida
na wegine tumepata ufadhiri wa kwenda huko mwaka huu... wana hazina ya dola za kutoshaa...Vita zote mrusi alikuwa alivamia nchi za watu na kuteka majimbo yao raia wa kawaida waliendelea tu na maisha yao sababu hawaku feel chochote life iliendelea kama kawaida
Sasa Russia akajiona kidume ukianzisha vita kuteka majimbo nchi za watu hakuna wa kumfokea au kumfanya chochote eneo lolote ndani ya nchi na nje ya nchi akavimba kichwa
Sasa nchi za Magharibi zimeweka vikwazo ambavyo raia wa kawaida ataamka usingizini na kumlaani Putin na kuchukua hatua dhidi yake.Sababu kama hawaguswi na hiyo athari watanwacha tu Putin aendelee kusumbua nchi za watu na kuteka majimbo yao na kuyafanya sehemu ya Urusi Vikwazo kazi yake mojawapo ni kujenga internal resistance ya raia wa kawaida dhidi ya utawala uliopo Madarakani Putin sasa hivi majela yamejaza waandamanaji wanaipinga vita ya Ukraine wanaoumizwa na vikwazo
wape elimu...Aisee!
Hivi unaijua vizuri Urusi?
Kuna nchi ndogo sana kwa Urusi Zina vikwazo toka mama Yako hajazaliwa lakini Zinaambo mazito kuliko nchi kadhaa za ulaya.
Unaijua Cuba?
Unaijua Iran?
Na unaijua Korea Kaskazini?
Hizi ni nchi ndogo sana kwa Urusi.
Sasa Urusi ndo nchi inayoongoza duniani kwa eneo kubwa,
Inaongiza Dunia kwa rasilimali,
Inaongiza Dunia kwa silaha,
Ina viwanda vya kila kitu,
Ina technolojia kubwa sana tu,
Ina wasomi wengi,
Ina wanasayansi wengi TU
Ina Fanya tafiti za Kila aina,
Ndio iliwafundisha akina USA kwenda huko anga za juu kabisa..
Ndi imewakaribisha USA na maswahiba wake kwenye ISS.
Mambo ni mengi mda mchache.