kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
SATAN-2 Made in Russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016, hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa advanced technology ni inter-continental linafika popote duniani na kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu, lina uzito wa tani zaidi ya 100, linabeba mabomu 10-15 ya atomic, kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA.Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa.
Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi; "we have the best army in world"
Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana Rais wa Russia kwa kujiamini kabisa alisema hivi; "we have the best army in world"