Urusi watengeneza Satan 2

Hawa ndio vijana Wa Tz kila mtu anakuja na hoja yake kujifanya wanazijua sana USA NA RUSSIA kuliko hata viongozi Wa nchi hizo..

Mtu anakomaa kubishana wakat yuko rorya na mbagala kisa tu kaingia Google na kusoma paragraph moja tayar anajifanya kulichambua jeshi lote la urusi na USA
.. Hivi mmewahi kujiuliza kwann ubishani wenu Wa kijeshi juu ya nchi hizi mbili haufiki mwisho??

Jibu ni kwamba mnabishania msichokijua.. Hapo mnabishania maandishi na sio vitendo..

Ww unayeizungumizia hyo Satan-2 ni lini hyo Satan ilirushwa kutoka urusi mpaka nchi nyingne na ikaja na matokeo uliyoandika hapo??
 
"a man brags of his own peni.. however tiny"
Daah!kaka huu msemo niliusoma kwenye kitabu kimoja hivi kizuri sana chenye misemo ya watu maarufu sana duniani lakini kwabahati mbaya kimepotea kwenye mazingira ya kutatanisha so kama utanisaidia kupata copy yake pamoja na kunitajia jina lake ntashukuru sana maana hata jina la kitabu nimelisahau.Msemo mwingine ambao naukumbuka "where there is a will,will there is a way"

NB;Ni kitabu chenye kauli za mafilosofi na waandishi wa vitabu pamoja na viongozi wa zamani waliokua na ushawishi mkubwa duniani eg shark spears etc
 
Sikuungi mkono, tech nyingi za Russia hazijulikani, angalia wanachofanya Syria, hata marekani wanashangaa, tuache promo za media tuangalie output
 
Mungu tusaidie tanzania tuendelee na nchi yetu ya amani
 
Mabomu hata somalia yapo, Urusi ndo kiranja wa makombora ya masafa marefu(ICBM), NATO wenyewe wameivulia kofia Urusi.
RUssia kweli amedevelop icbm nyingi sana, Vp kuhusu anti-icbm

Mi kwa uelewa wangu mdogo, Aliye salama ni yule mwenyewe defense capability kubwa na sio attack capability,

Ila kuwa nazo zote mbili ni the best, I hope huyu ni usa
 
Jamani CT SCAN NA MRI zimekufa Muhimbili tuzijadili hizi ni muhimu kwetu kuliko makombora ya Russia
Ni kweli japo athari zake ni kwetu sote. Suala la ST SCAN na MRI ni pesa tu za ama kuitengeneza au kununua mpya!
 
Sikuungi mkono, tech nyingi za Russia hazijulikani, angalia wanachofanya Syria, hata marekani wanashangaa, tuache promo za media tuangalie output
Kipi kipya kilichofanyika syria, kutoa air support ya kushambulia vikundi vya wapiganaji wasio hata na air defense??
Naomba unijuze hizo tech?
Pia niambie kipi kipya kilichofanyika syria.
 
Nice and logical critique, mambo ya simba na yanga yanapelekwa kwa Putin na trump. Funny@ most
 
Kipi kipya kilichofanyika syria, kutoa air support ya kushambulia vikundi vya wapiganaji wasio hata na air defense??
Naomba unijuze hizo tech?
Pia niambie kipi kipya kilichofanyika syria.
Long range missile with high precision hujssikia, hujasikia kuhusu kamanda wa Russia aliyetekwa but akaamuru wenzie wamtwange kwa kombora na kuteketeza maadui kibao?
 
Long range missile with high precision hujssikia, hujasikia kuhusu kamanda wa Russia aliyetekwa but akaamuru wenzie wamtwange kwa kombora na kuteketeza maadui kibao?
SAsa hapo kipi ni kipya, ? High precission weapons, ? Kamanda kutekwa na kukubali kufa ni high tech?

Kama ni higher precision long range missile hapo hakuna jipya, kama ni kukubali kufa hata mgambo wa tanzania anaweza kukubali kufa,

Be serious bro
 
Nakunga mkono kwa hilo Shickland vita vya sakafuni kumbuka pia walienda Somalia miaka ya 90s waliuawa over 80% na wasomali walisalimu amri mpaka Leo mmarekani hamini jinzi gani mkenya alivyo mpiga msomali na kuweka kambi huko huko somali
 
Mgambo kukubali kufa is one thing, kuwajulisha wenzie yeye akiwa mateka diyo high tech, niwapi marekani wamerusha makombora saws na umbali wanaorusha Russia kwenda Syria
 
Trump kashasema ataongeza tarrff kwa bidhaa za china mpaka 45%,muda utaongea
 
Bro rudi tena kachimbue kwa undani.. Warusi ni hatar Mkuu.. America ni wazur wa propaganda tu.. Lazima urusi ndo kwenyew...
 
Bro rudi tena kachimbue kwa undani.. Warusi ni hatar Mkuu.. America ni wazur wa propaganda tu.. Lazima urusi ndo kwenyew...
Sawa. Ila niambie uzur wao, Mi nimetoa vimifano vidogo, Mbona We umekulimbilia kusema ni wazuri bila hata mfano BTW najua vitu vini kijesi ni classffied, Basi at least to hata hivyo vya wikipedia ambavyo sio classffied
 
Mgambo kukubali kufa is one thing, kuwajulisha wenzie yeye akiwa mateka diyo high tech, niwapi marekani wamerusha makombora saws na umbali wanaorusha Russia kwenda Syria
Kuwajulisah wenzako u r in trouble i jus a matter of pressing a button, Ni kama stress call za ndege na meli,

Bear in mind waliomkamata ni low techs,

Bado hapo hujaniambia kuhusu high tech, At least aliesema kuhusu satan-2 amesema kuhusu high tech
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…