Urusi: Rais Putin arahisisha utaratibu wa raia wa kigeni kupata hati ya kusafiria

The Sheriff

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
617
1,800
5f0dbc9385f5400e915aeebd.jpg


Rais Putin amesaini sheria iliyosubiriwa kwa muda mrefu kurekebisha mchakato wa wageni kupata uraia wa Urusi. Nchi hiyo kubwa zaidi (kijiografia) duniani inatarajia kuvutia hadi wahamiaji milioni 10 ifikapo 2025.

Kulingana na sheria mpya, sasa ni rahisi zaidi kwa raia wa baadhi ya nchi kuwa Warusi.

Raia wa kigeni ambao wana mzazi Mrusi, wameoa au kuolewa na raia wa Urusi, au wana mtoto na raia wa Urusi, sasa wanaweza kupata pasipoti kwa haraka.

Mnamo Aprili, bunge la Urusi lilipitisha sheria iliyowaruhusu wageni kuwa raia wa Urusi bila kuziacha pasipoti zao za nchi nyingine. Urusi inatarajia kuwa mchakato uliosasishwa wa kupata uraia utasaidia kuvutia mamilioni ya Warusi wapya.

========

Russian President Vladimir Putin has signed a long-awaited law streamlining the process for foreigners to obtain Russian citizenship. The world's largest country hopes to attract up to 10 million migrants by 2025.

According to the new rules, it is now much more straightforward for certain types of foreigners to become Russian.

Foreign citizens who have a Russian parent, are married to a Russian, or have a child with a Russian citizen, can now quickly obtain a passport themselves. The acquisition of Russian nationality has also been streamlined for foreigners who reside permanently in the country.
Read more

In April, the Russian parliament passed a law allowing foreigners to become Russian citizens without giving up existing passports. Along with the simplified process, Moscow hopes that the updated process for obtaining citizenship will help attract millions of new Russians.

As things stand, like in much of Europe, the natural population of the country is slowly declining. In 2018, the number of Russian nationals fell for the first time in a decade. This trend continued into 2019, as deaths outnumbered births by over 250,000.

For nationals of Belarus, Kazakhstan, Moldova, and Ukraine, as well as former citizens of the USSR, the process has been simplified even further. People in this category no longer need to reside in Russia for three years prior to application. In 2019, Putin implemented an even more straightforward process for residents of the self-declared Donetsk and Lugansk People's Republics in eastern Ukraine.

In February, Konstantin Zatulin, a member of the working group responsible for updating Russia's migration law, explained that changing the law would mean “passportizing the diaspora abroad.”

On Monday, Deputy Prime Minister Tatyana Golikova announced that Russia was looking to change its migration system “in favor of high-quality migration” to attract “very qualified personnel to the country.”

Source: Russia Today
 
Safi sana, ngoja nimtafute binti wa Kirussia nifanye mambo tu

Nisepe.
 
Wale Makabulu waliofukuzwa Zimbabwe hawajaweza kumaliza ardhi ya huko Urusi?

Nchi nyingi duniani wanawatambua Descendants wao hata siku moja wale jamaa hawawezi kukosa nchi au kukataliwa kurudi kwa mababu zao wa kale
 
Wale Makabulu waliofukuzwa Zimbabwe hawajaweza kumaliza ardhi ya huko Urusi?

Nchi nyingi duniani wanawatambua Descendants wao hata siku moja wale jamaa hawawezi kukosa nchi au kukataliwa kurudi kwa mababu zao wa kale
 
Back
Top Bottom