Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Sahihi Mkuu. usipokuwa mtu wa kufikiri uwezi kujua ninachoendelea kwa Siri. Ni nini.
 
unamaanisha utashi au vifaa?
Mambo mengine ukiyasikiliza ndio utajua kwamba uelewa wa baadhi ya waswahili bado ni mdogo sana - wametekwa sana kiakili na make believe Hollywood movies pamoja na MSM karibu zote - kwao Dunia ni Amerika uwambii chochote wakakuelewa,inasikitisha sana kusema kweli - waswahili wala hawashituki kumuona makamu wa Rais akija Afrika kuhamasisha ndoa za jinsia moja, wakati yeye kaolewa ingawa hana moto!!!!
 

Afrika kusini memba mwenzenu wa BRICS ni mhamasishaji mkubwa wa huo ushoga,sio kila siku kusingizia wazungu.

India kubomoana mitaro ruksa,hapo Brazil ni ruksa tena ni moja ya watengenezaji wakubwa wa Porn....Ila warusi wa kibera kila siku mpo na America na Europe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…