Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Hakuna kitu atafanya Marekani ni taifa coward sana. Yeye anabakia kuonea vitaifa vidogo tu.
Sasa taja taifa kubwa basi manake mi nadhan Russia ni giant na China na wote wanapata kibano
 
kama unagundua marekani alijua urusi aliisaidia vietnam ila marekan alidili na shida zake ila sasa hv urusi kila siku kulalamikia wanaomsaidia ukraine , na bado hujagundua mkorofi nani? urusi ni waliaji liaji sana
 
Jidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usa
basi marekani awawezi kufanya chochote zaidi ya kutafuta upatanishi

I beg to differe here, yaani marekani apigwe halaf anyamaze? Kwa taarifa yako pande zote zinasubiri nani aanze ipatikane sababu
 
Jidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usa
basi marekani awawezi kufanya chochote zaidi ya kutafuta upatanishi
Kuna watu mna upuuzi mwingi Sana na kukosa kufikiria mrusi anamlalamikia Sana mmrekani kuhusu hii Vita jiulize swali jepesi rais wa marekani alaenda Ukraine kwanini mrusi asingemuua. Maana adui kajileta kwenye uwanja wa Vita mwenyewe.
 
so open door policy ilikuwa uongo ? subir usa ianguke ndo utakuja juwa usa ndo anawafanya europe wasirudi afrika ila europe wanatamani sn kurud afrika
Unakusudia hawa USA waloanza kuwapa haki watu weusi miaka ya 60’s na wanawake kupiga kura miaka ya 20’s?. USA hii hii yenye kambi za kijeshi kila kona ya Dunia?. Unajua kama wakoloni wali watawala machief na sio kama walipigana na kutawala?.
 
Kuna watu mna upuuzi mwingi Sana na kukosa kufikiria mrusi anamlalamikia Sana mmrekani kuhusu hii Vita jiulize swali jepesi rais wa marekani alaenda Ukraine kwanini mrusi asingemuua. Maana adui kajileta kwenye uwanja wa Vita mwenyewe.
Mkuu kuna habari humu za kuaminika kwamba Joe Biden aliwasilina na Putin kuhusu ujio wake huko Ukraine baada ya ziara yake mchini Poland - lengo la mawasiliano hayo ni kwamba pasije pakatokea miscalculation ya kuburumisha maroketi mabom wakati Biden aliwa ziarani huko Ukraine - yote hayo yalikuwa ni maigizo tu, Putin,Biden na Zelensky hata Rais wa Poland walijua in advance nini kinaendelea nyuma ya pazia - wana siasa walivyo wa ajabu Bifen alipo wasili tena Poland akitokea Kiev akaanza kumsema vobaya tena Putin kasahau kwamba yeye na washauri wake ndio walimsihi Putin hasishabulie Kiev, Biden akiwa ziarani huko, kichekesho kingine: baada ya Biden kuondoka Kiev Zelensky akaanza kuvurumisha makombora eti ya kutungua roketi na ndege za Urusi zilizokuwa zinataka kushambulia mji wa Kiev - hivyo wakazi wa Kiev wajione wako salama kabisa - kumbe ni ulaghai wa litaka kuwachota watu akili, siku hiyo hakuna kombora wa ndege za Urusi zilizoingiananga la Ukraine.
 
Ona hii nyanya
 
Kuna shushushu moja la Urusi lilikamatwa likahojiwa akasema Putin ni mtu mwenye hofu sana hana utulivu wa maisha anapenda kujibadilisha sura, ukisikia Putin ameenda kutembelea Crimea kumbe sio yeye ni wa bandia
Hahahah source?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…