myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Hii hadithi tamu..Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine.
Je, tutegemee nini?
BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations are taken in Washington DC, not Kyiv
Imesema inapanga jinsi ya kulipa
Kumbe ndo maana hawajajibu
-----
Just in from Moscow: Putin spokesman Dmitry Peskov claims without evidence that the US is behind the drone attack on the Kremlin. "We know very well that decisions on such actions and such terrorist attacks are made not in Kyiv but in Washington." via Russian state media
Huu ni ushauri wa mbwa kumvamia chui.Jidanganye ila ukweli ni kwamba russia ikipiga usa [emoji631] basi marekani awawezi kufanya chochote zaidi ya kutafuta upatanishi
ushaidiNi mjinga Tu asiyeamini Hilo Kwa Sababu wapanga mipango WA Ukraine ni wanajeshi au wataalam wa NATO.
Yupo sahihi, Respond ni kitendo na response ni noun.Response not respond
umeandika kishabiki sana , kwann baadae vietnam kawa mdau mkubwa wa usa?Mambo mengine jaribuni kufanyaka kautafiti kidogo au kusoma historia - hivi VietNam ilipo kuwa inasaidiwa na Urusi kwenye ya silaha za kutungulia ndege zikiwemo phantom na B-52, helicolpters - more than 20thousand American military flying machines were brought down by VietNamese air defense systems (S-75) and MiG-21 (a supersonic fighter by that time). Mbona hamsemi kwa nini Amerika haikuivamia Urusi kwa sababu ya kuwapatia silaha WavietNam walikuwa wanapukutusha ndege za Kimerikani kila kukicha mwisho wa siku Amerika ikafunga virago na kuondoka VietNam kwa aibu - check video clip wakati wanajeshi wa Kimerinani na majenerali wakitimka bila viatu wakikimbia vifaru na jeshi la VietCong huko Saigon - huwa sielewi kwa nini baadhi ya waswahili wana tendency ya ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Taifa la Merikani - mbona uwezo huo hakuoona huko VietNam, Cambodia na Laos, mbona hakuuuona huko Afghanistani - wanapigana na Watebanani kwa miaka ishirini halafu wana waachia tena watelibani kutawala ie on drivers seat - hii wapi na wapi.
Labda nikukumbushe kwamba Urusi inajulikana kama Super power for a good reason - nyie endeleeni na imani zenu za ajabu sana - hivi kwa akili za kawaida Amerika inaweza kwelikudhubutu kuoiga vita ya ana kwa ana na URUSI - msilete utani, kuhusu Ikulu ya Merikani kushambuliwa kirahisi Urusi ikihamua hilo ni suala dogo kwao - wanatuma hyoersonic missiles au glide vehicles hata SARMAT ambazo Amerika nzima haina kinga yoyote dhidi ya makombora hayo hatarishi au wewe huna habari na ukweli huo.
ahsante kwa kulitambua hilo so maadui wapo ndani ya urusi tena mji mkuuuAkili kisoda.kama ni kweli, kivyovyote vile urushwaji wa hizo drone ulifanywa ndani ya jiji la Moscow. Nakataa kukubali drone zilirishwa kutokea Ukraine
so open door policy ilikuwa uongo ? subir usa ianguke ndo utakuja juwa usa ndo anawafanya europe wasirudi afrika ila europe wanatamani sn kurud afrikaVita vya Vietnam na USA China na Russia walikuwa wana wapa support Vietnam.
Vita ya North korea na South korea marekani/Europe walikuwa na south na China/Russia walikuwa na north.
Vita vya Afghanistan na Russia. USA alikuwa ana support Afghanistan
Cold War ya Cuba na USA Russia alikuwa na Cuba.
Ukombozi wa Afrika Russia alikuwa na Afrika na USA alikuwa na wakoloni.
unamuona Putin mjinga kuvamia majiran zake? km angekuwa mstaarabu alipoachiwa crimea basi angetulia ila kuitaka ukraine yote ni ukorofi tyrUnasema tu wewe. Russia ni muungwana anapima madhara yatakayotokea. Russia inaongozwa na Putin, kiongozi anayejitambua, angekuwa sampuli za akina Adolf Hitler leo hii makombora kadhaa yameshatumwa kule US na kimewaka.
Mataifa kama Iran, North Korea, Na wengineo wanaomtamani sana US watajoin vita hivi na hapata kalika utakuwa ndio mwisho wa dunia maana zitarushwa silaha za kinyuklia za kimaangamizi ambazo sumu yake itafunga anga kwa hewa nzito itakayo block jua kabisa na kisababisha mimea na mazao kufa ndani ya siku kadhaa.
Tutakula tu bidhaa za viwandani na za kusindika ambazo nazo baada ya muda zitaisha then itabidi tuanze kulana wanadamu then tutaisha wachache watasurvive na itachukua miaka kadhaa kwa hali kuwa shwari.
Sasa wadhani mrussia ni mjinga kiasi hicho hadi kuhatarisha amani na usalama wa Dunia ili tu kumjibu huyu mbumpavu m'moja, mleta chokochoko duniani asiyejua vibaya ambaye kutwa kucha matako yake anahangaika na mataifa mengine kuyaingilia malaya mkubwa huyu Marekani. Shenzi kabisa.
Huoti wewe bure kabisaUnaota wewe sio bure
Hivi ni kweli waliochanganyikiwa hauwajui au na wewe ni miongoni mwao waliochananyikiwa,,!?Urusi ni kama wamechanganyikwa.
Kimshumaa kilichodondokea Kremlin ndo kiwachanganyeUrusi ni kama wamechanganyikwa.
Hata North Korea ana mabomu hatari lakini hakuna kati yao mwenye ujasiri wa kushambulia eneo la ardhi ya Marekani. Hilo lipo hivyo iwe unapenda kulisikia au hupendi linabaki kuwa hivyo.Huna akili kusema hivyo Kwa Sababu Russia naye anamabomu hatari zaidi ya nuclear kuliko hata USA
Kuwa na akili basi hata kidogo. Kusema vile haimaanishi kwamba waliofanya hilo jaribio sio Ukrainians. Kuna uwezekano wa Ukrainians waliingia Moscow kwa mission maalumuahsante kwa kulitambua hilo so maadui wapo ndani ya urusi tena mji mkuuu
Pumbafu. Waambie marekani wapige kombola Moscow or norh Korea alafu uone kama hawatamjibuHata North Korea ana mabomu hatari lakini hakuna kati yao mwenye ujasiri wa kushambulia eneo la ardhi ya Marekani. Hilo lipo hivyo iwe unapenda kulisikia au hupendi linabaki kuwa hivyo.
Aliyekuambia anataka Ukraine yote ni nani? Marekani?unamuona Putin mjinga kuvamia majiran zake? km angekuwa mstaarabu alipoachiwa crimea basi angetulia ila kuitaka ukraine yote ni ukorofi tyr
We jamaa Huwa una upumbavu mwingi, huenda ulizaliwa kabla ya siku zako!Aliyekuambia anataka Ukraine yote ni nani? Marekani?
Puto tu la china na ukubwa wake lilika wiki linafanya linavyotakaRussia HAINA UWEZO WA KUFANYA SHAMBULIO LOLOTE NDANI YA ARDHI YA US.