Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Zile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi Kremlin
Atasingizia Marekani mbali
 
Aibu ndio inepelekea watamke hivyo.kuwa.Marekani ndio.imeshambulia Kremlin

Wameona wakisema Ukraine ndio kushambulia hata warusi wangekosa imani na serikali na jeshi.

Wameona wataje taifa kubwa

Lakini uongo Ukraine ndie kamtwanga
Wanajiingizia kidole na kucheka we yes Warusi
 
Sura yako ni ya ki-jihadist kabisa wala huwezi kupinga.
 
So tutegemee respond kutoka kwa Mrusi au ataachwa Mmarekani na kugeukiwa Ukraine ambaye hakuhusika?
Nadhani wame revenge lile dude lao lililoangushwa bahari nyeusi
 
Hii Urusi yenu imekua bonge la useless, sasa wanalia nini, wafanye tuone.
Drones zinafika hadi chumbani.
Wewe hujielewei hujaona watu wa Ukraine wanauawa Kwa Sababu ya drone?yaani hawajapata madhara lakini Ukraine wamepata misiba.
 
Hii Urusi yenu imekua bonge la useless, sasa wanalia nini, wafanye tuone.
Drones zinafika hadi chumbani.
Jana usiku Kiev ikipigwa Kwa milipuko huku Kherson ya Ukraine watu 12 Waliuawa Kwa Sababu ya hizo drone ambazo hazikuwa na madhara.
 
Mzee wa nonsense lini umekua na akili, drone inachezea ikulu ya supapawa.
Hamn madhara yoyote kuna air defence system wakati Ukraine wengi walipoteza Maisha Kwa Sababu ya ugaidi WA serikali Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…