Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

Urusi: Marekani ndiye mhusika mlipuko Kremlin

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,935
Reaction score
102,690
Urusi yadai, Marekani ndiye alihusika na drone na si Ukraine.

Je, tutegemee nini?

BREAKING: Russia claims the US is behind drone attack on Kremlin and that decisions to conduct such operations are taken in Washington DC, not Kyiv

Imesema inapanga jinsi ya kulipa

Kumbe ndo maana hawajajibu

-----

Just in from Moscow: Putin spokesman Dmitry Peskov claims without evidence that the US is behind the drone attack on the Kremlin. "We know very well that decisions on such actions and such terrorist attacks are made not in Kyiv but in Washington." via Russian state media
 
Zile drone Putin anaonyeshwa kwamba hayuko salama anga lake akileta fyokofyoko zaidi atashughulikiwa on the spot, sasa kama ni Washington basi putini arushe japo kajiwe kadogo kule Marekani kama hatashuhudia vumbi Kremlin
Russia ataumizwa na Wayukreini waliokimbilia huko baada ya uvamizi
 
Aibu ndio inepelekea watamke hivyo.kuwa.Marekani ndio.imeshambulia Kremlin

Wameona wakisema Ukraine ndio kashambulia hata warusi wangekosa imani na serikali na jeshi.

Wameona wataje taifa kubwa

Lakini uongo Ukraine ndie kamtwanga
 
Russia ataumizwa na Wayukreini waliokimbilia huko baada ya uvamizi
images (61).jpeg
images (60).jpeg
 
Back
Top Bottom