hamfcb
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 588
- 668
changia mada kwa hoja yaani wapi nimekosea au lipi nisilojua. hizo habari za ccm achana nazoNimekutaarifu tu kuwa hakuna unalolijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
changia mada kwa hoja yaani wapi nimekosea au lipi nisilojua. hizo habari za ccm achana nazoNimekutaarifu tu kuwa hakuna unalolijua.
Tatzo mnalaumu hata usiyoyajua. Wao ndio utaratibu waliojiwekewa tena upo wazi kikatiba ww unalaumu nn kama sio ukichaa?Sikutegemea kauli tofauti kutoka kwa gamba.
Achana na vilaza hao hakuna wanachokijua dunian zaidi ya ccmchangia mada kwa hoja yaani wapi nimekosea au lipi nisilojua. hizo habari za ccm achana nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
russia bado ni crippled tu. wangekua wamesimama na miguu yote miwili na wao wangeiwekea marekani vikwazo badala ya kulialia tu. unafkiri marekani anauwezo wa kuiwekea china au nchi za ulaya vikwazo? hivi vikwazo ni kwaajili ya nchi ndogo ndogo. iran, venezuela, cuba, russia, korea kaskazini. kama hiyo ndio hadhi ya russia sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trumph kamshindwa Mapank sasa kwa aibu anamgeukia Russia...Hivi vikwazo ukifatilia kwa jicho la tatu vinalenga kukuza biashara ya gas ya Marekani pale Europe. Maana Russia anauza 38% ya gas yake Ulaya huku Marekani ni 2% tu. Maana wanajua wakishaharibu biashara ya gas ya Russia kwa Ulaya bhas washammaliza Urusi maana uchumi wake utakua taabani. Ukitaka kujua zaidi jaribu pia kufatilia hotuba ya Trump alipokua Poland aliyoyasema kuhusiana na biashara ya Nishati.
Kuiita Russia nchi ndogo ni dhairi upo shallow.russia bado ni crippled tu. wangekua wamesimama na miguu yote miwili na wao wangeiwekea marekani vikwazo badala ya kulialia tu. unafkiri marekani anauwezo wa kuiwekea china au nchi za ulaya vikwazo? hivi vikwazo ni kwaajili ya nchi ndogo ndogo. iran, venezuela, cuba, russia, korea kaskazini. kama hiyo ndio hadhi ya russia sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye sanctions pande zote mbili zitaumia hata marekani pia itaumia. tafauti ni kwamba uchumi wa russia ni mdogo na wataumia zaidi. chanzo chao kikuu cha mapato ni gas na wateja wao ni ulaya. vikwazo vya crimea mbona ulaya ilishiki na russia iliumia sana ndio kisa cha kuingilia uchaguzi wa usa wakitegemea trump watawalegezea. sio kwamba ulaya hawawezi kuishi bila gas ya urusi ila wanaona hivi vikwazo vipya havina faida kwao yaani putin kuingilia uchaguzi wa usa wao haiwahusu kwanini wasinunue gas ya urusi? najua kuhusu ulaya kutegemea gas ya urusi. point yangu ni kwamba Russia haijasimama au kuwa kwenye hadhi yake kama mchangiaji niliomjibu anavosema, ingekua hivo wasingewekewa vikwazo in the first place. nchi kubwa hazisumbuliwi na vikwazo. huwezi kusikia marekani au china wamewekewa vikwazo ila russia kila siku wanalalamika tuSoma hapa mkuu Europe to U.S.: Your new Russia sanctions would hurt us too
Nafikiri utaelewa kuwa Russia sio crippled kama unavyofikiria. Sanctions hizo zinaweza kuathiri Ulaya pia, in which kama US wakieendelea kukaza wanaweza kujikuta wanatia doa uhusiano wao na Ulaya, hence their own sanctions can harm themselves.
Huwezi kumuwekea Sanction Russia afu ikapita as if unaiwekea sanction Zimbabwe. Pitia hii link Russia sanctions: What you need to know - CNN.com
US can be a global super power but Russia has power too.
You hit em, they hit you back.
sawa nafuta kauli, russia bado ni super power kijeshi. ila kiuchumi wanaburuzwa sana na kusema putin ameirudisha kwenye hadhi yake ni kujidanganyaKuiita Russia nchi ndogo ni dhairi upo shallow.
Kwenye hiv vikwazo vipya Trump kalazimishwa tu kuvisign ila s kumlaumu ni Congress na sio baba wa watu.
Mkuu kwani hujui US ni mmoja wa wazalishaji wakubwa wa Gas duniani badala ya Russia,Iran, Qatar Saudia halafu ndo inafata Marekani.Sasa ndugu yangu hebu tupe ELIMU kidogo hapo uliposema MAREKANI (US)
inalenga kufanya BIASHARA ya gas EUROPE kwa style ipi ....sasa hivi US ni wachimbaji wakubwa wa Gas Duniani?
Zimwi likujualo......
Sawa mkuu, ila ni vizuri uka elaborate ni kwanini unafikiri Putin hajairejesha hadhi ya Russia baada ya anguko la Soviet Union!?!?sawa nafuta kauli, russia bado ni super power kijeshi. ila kiuchumi wanaburuzwa sana na kusema putin ameirudisha kwenye hadhi yake ni kujidanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa kaka lkn nilikuwa nataka kujua vip wanataka soko la EUROPE ?Mkuu kwani hujui US ni mmoja wa wazalishaji wakubwa wa Gas duniani badala ya Russia,Iran, Qatar Saudia halafu ndo inafata Marekani.
Pia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani tena kama sikosei mwaka jana au juzi alimpita had Saudia na Russia kwa uzalishaji mkubwa wa mafuta![]()
![]()
Inaonekana wewe bado ni mchanga sana kwenye international relations. Next time jaribu kusoma zaidi mambo ya mataifa ya nje kupitia vyanzo tofauti ili uongeze ujuzi. From there hope utakuwa na uwezo wa kuchangia vitu vya maana ukiwa na neutral mindrussia bado ni crippled tu. wangekua wamesimama na miguu yote miwili na wao wangeiwekea marekani vikwazo badala ya kulialia tu. unafkiri marekani anauwezo wa kuiwekea china au nchi za ulaya vikwazo? hivi vikwazo ni kwaajili ya nchi ndogo ndogo. iran, venezuela, cuba, russia, korea kaskazini. kama hiyo ndio hadhi ya russia sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia kusikiliza wachambuzi mbalimbali na kusoma articles mbalimbali nyingi zinasema kwamba technology anayotumia US katika kuchimba hyo gas yake inafanya iwe ni cheap. Na kwa mara ya kwanza ndo ameshaanza na Poland kuwauzia, kwenye ile ziara ya Trump ndo waliwasilisha shipment ya kwanza.Naelewa kaka lkn nilikuwa nataka kujua vip wanataka soko la EUROPE ?
Maan navyo jua mm ndio USA ni among the top countries zinazo produce OIL (energy) over Ten milion Barrels per day ...
Lkn hata nusu ya Mahitaji ya ndani haitoshi sasa vipi wawe na ziada ya kuuza?
Zimwi likujualo......
sawa na mi pia nakushauri next time kama hukubaliani na mtu mjibu kwa hoja sio kusema hana uelewa. thats not how you have a discussion. hakuna sehem niliosema mimi ni mtaalamu wa mambo ya siasa za nje so haina haja kusema mm ni "mchanga" au unafkiri kila anaechangia humu ni political scientist?Inaonekana wewe bado ni mchanga sana kwenye international relations. Next time jaribu kusoma zaidi mambo ya mataifa ya nje kupitia vyanzo tofauti ili uongeze ujuzi. From there hope utakuwa na uwezo wa kuchangia vitu vya maana ukiwa na neutral mind
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah, kwa akili kama hizi ccm itaendelea kutawala milele.
Hivi vikwazo ukifatilia kwa jicho la tatu vinalenga kukuza biashara ya gas ya Marekani pale Europe. Maana Russia anauza 38% ya gas yake Ulaya huku Marekani ni 2% tu. Maana wanajua wakishaharibu biashara ya gas ya Russia kwa Ulaya bhas washammaliza Urusi maana uchumi wake utakua taabani. Ukitaka kujua zaidi jaribu pia kufatilia hotuba ya Trump alipokua Poland aliyoyasema kuhusiana na biashara ya Nishati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,Then what?!dawa ni kutest makombora kwa wingi
ili mwenye kununa anune. china atest, urusi atest mpaka tz tutest atakayehisi anakerwa ajaribu kumshambulia mwenzake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,Then what?!