ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Hahahaha... Tz si tutatest Makinikiaili mwenye kununa anune. china atest, urusi atest mpaka tz tutest atakayehisi anakerwa ajaribu kumshambulia mwenzake
Hahahaha... Tz si tutatest Makinikiaili mwenye kununa anune. china atest, urusi atest mpaka tz tutest atakayehisi anakerwa ajaribu kumshambulia mwenzake
Hahahahadawa ni kutest makombora kwa wingi
Acha kukuza mambo wamebadilishana mara moja tuHuyu Medvedev na Putin washaigeuza Russia kama mali yao. Huwa wanabadilisha urais na uwaziri mkuu; term ya huyu ikiisha kikatiba wanabadilisha hizo nafasi; term ikiisha tena wanabadilishana tena; hivyo hivyo nadhani hadi watakapokufa.