Urusi kuwapatia waitifaki wake silaha za kisasa kabisa

Urusi kuwapatia waitifaki wake silaha za kisasa kabisa

Hana namna zaidi yakutaka ku-survive tu....kabla ya vita ya Ukraine ulishawahi msikia Mrusi au Waziri wake amekuja Africa kwa ziara ya namna yoyote?

Kagombana na Wazungu wenzake sasa ndio anajifanya bega to bega

Hakuna mtu mbaguzi wa ovyo kama Mrusi ushawahi sikia tu hata kuna Muafrika anacheza ligi za huko

Odemwinge sidhani kama atasahau baada warusi kuwashukuru waingereza kumnunua nyani huyo

WAPAMBANE NA HALI ZAO WAACHE KULIALIA

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Urusi waziri wake tena mwandamizi anazunguka afrika kuomba nchi za afrika zinunue mafuta yake na bado mseven kwa uganda amekataa aisee urusi ni mandonga.
 
Kawaida ukipewa heshima ya ukubwa ridhika na heshimu wenzako, ukianza ubabe ,uporaji ,ujinga,mwisho wako umefika directly USA analazimisha kuingia vitani, na hapo ndipo wenzake wanapomsubiri kwa hamu,
Silaha kubwa na mbaya zitaenezwa ,wababe wataongezeka,
Nafkiri tungepaswa kujitegemea wenyewe haswa kiteknolojia kabla ya yote. Utapambana vipi na mtu ambae kwa zaidi ya 90% ya teknolojia nchini kwako vinatokana na yeye? Anzia usafir, mawasiliano, miundombinu ya barabaraba, vifaa vya kilimo n.k
 
Kila siku niki waaambia mlete link ya Putin akisema hayo maneno hamleti, sasa leta ushuhuda wa Putin akisema OP itachukua masaa 72, data hamna mnaleta Singeli tu hapa
Kwanini usigoogle mkuu, mbona tulizungumza saana hii mwanzoni mwa vita, tafuta hata ile thread mama utapata links kule.
 
Putin Yuko kama kuku aliyekatwa kichwa, anatapatapa tu,
Siku hizi zile kelele za majeshi yake kusonga mbele hazipo tena. HIMARS zilibadili upepo kabisa. Sasa hivi Mrusi anakimbilia kwenye miundombinu ya kuzalisha umeme, wenzake wanapasua military base tu.
 
Kwanini asitumie hizo silaha Ukraine au anafurahia watu wake kufa?
 
Pigo kwa U.S ,kuna nchi zinaenda kuwa wababe zaidi ya mrusi na hilo mmarekani hataki
Nchi iwe ya kibabe kuzidi Rusia kwa kupewa msaada na Rusia hiyohiyo? Yaani uwe tajiri kwa kuombaomba zaidi ya unaowaomba? Haya mawazo yanapatikana hapa Tanzania pekee.
 
Walau tutakua na stories za kuelezea wajukuu wetu kuhusu COVID-19 US-Russia post covid, economic recession after COVID-19, China-US post COVID-19 relationship etcetc😅😅
 
Kwanini usigoogle mkuu, mbona tulizungumza saana hii mwanzoni mwa vita, tafuta hata ile thread mama utapata links kule.
Hilo swala halikiwai kusemwa na Putin ni wachambuzi ila mmeli also a njuga tu hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom