STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,599
Urusi inakuvunja moyo wako sio?


Utajua hujui mwaka huu



Utajua hujui mwaka huu


Utajua hujui mwaka huu😅 😅 😅 😅 😅,Aisee nmecheka sana,eti kuifuta NATO ndani ya dk 5.Ndio wanavywadanganya uko vijiweni kwamba NATO ni sawa na kanchi kama Burundi?..Russia anauwezo wa kuwafuta NATO ndani ya dakika 5,sema Russia ni wastaarabu sana.uzuri Russia anatengeneza silaha na hanunui,so hii Vita itawafilisi NATO Sana!! German tayari yuko exhausted Hana silaha tena za ku donate Ukraine,na taratibu na wengine wataanza kurudi nyuma watakapo ona ghala zao zinakauka !!!
Vyombo vya habari vipo, lakini kutokana na ukwasi wa nchi za magharibi, vyombo hivi vinapigwa marufuku huko Ulaya na kwingineko. mfano mzuri ni RT na Sputnik News.Mnataka kuniambia Dunia haina vyombo au vyanzo vingine vya habari isipokua BBC?
Sisi hatuteseki, uhakika ni kuwa hiyo miji itarudi ilipokuwa zamani na tutaondoa mamluki wote wa Urusi..
Kiufupi mmeipa Ukraine nguvu maana itawekeza kwenye ulinzi zaidi
Urusi imechukua
Crimea
Donbass
Luhansk
Black sea
Ule mji wa wa kibiashara.
Unasikitika nini !?
Unajua returns gani watapiga kwenye hayo maeneo
Na usikute hivyo vifaa ni outdated
We unadhani una full vita wenzako wanaitwa operesheni.
Huwezi juu itakuaje wakianzisha operesheni engine kuimega Ukraine
Acha na fake news za Western countries.
We huoni pesa kibao zinatumwa huko ukraine kuwasaidia wako broker wamepigika.
By me
Mrusi wa ntantilyabashashi.
Mchango wangu kwenu mashabiki wa Ukraine ni kuwa vita si lelemama na hilo Mrusi analijua. Ni sisi huku tunaodhani kuwa eti Mrusi angemaliza vita ndani ya wiki mbili tu. Hata kama angepigana na Rwanda usitarajie ingekuwa rahisi kihivyo. Toka mwaka 1992 Wamarekani wanapigana na wanamgambo kule Somalia na hawajafanikiwa hadi leo. Nawakumbusha tena kuwa Warusi walivamia Afghanistan mwaka 1979 na walikaa hadi 1989 wakafurushwa baada ya kushindwa vita. Nawakumbusha tena kuwa Mmarekani na silaha zake zote alishindwa kufua dafu kule Vietnam. Ni rahisi sana kutabiri matokeo ya vita ukiwa kwenye vijiwe vya kahawa au nyuma ya keyboard.
Ile column ya 64km y vifaa / magari ya jeshi na wajeshi kuelekea Kyiv kushney?
Pale kidarajani lile pigo amepigwa halikupaswa kupigwa kwa dunia ya sasa. Unavusha vifaa mtoni kama unavusha maandazi.
Russia ni hopeless
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app


Hakuna ujualo mkuu..ila muda utaongea,tuendelee kuwa wapole kdg.
Tumia akili yako binafsi katika hili, jiulize mwezi wa 4 sasa ni nini hasa shida Russia na Putin kule Ukrean? jiulize hili swali mara 3, je katika mahitajio yake liko japo moja ametangaza kwamba kafanikiwa?URUSI UMENIVUNJA MOYO WANGU. Sehemu 03
1. Pengine hiki ninacho kisia ni propaganda. ilio pitiliza ambapo ni mbinu za magharibi kuuhadaa ulimwengu. na hivyo kuonesha baadhi ya matukio yanayoonesha kua Ukraine anaonesha mafanikio. hali ya kuwa anachapika vizuri tu. properganda hizi zinasambazwa zaid na BBC na DW. kama tunavyo dai pro Putin au wana rubongo
2. Au pengine jeshi la russia linapigana kistaarabu sana hivyo kuepuka kutumia full force ambayo huenda utawadhuru raia ambao urusi inaiita kuwakomboa.
3. Pengine Russia hajatumia silaha zilizopo kwenye hifadhi kuhofia kuua nzi kwa Nyundo.
hizo points tatu ni muhimu kuzingatia hapo juu ili kurudisha imani yangu. kwa poor rusians.
LAKINI, TATIZO LINAKUJA KUA
Inakuaje hizi habari ni properganda sasa. yaani sielewi propaganda kwa misingi ipi?
Mnataka kuniambia Dunia haina vyombo au vyanzo vingine vya habari isipokua BBC?
Samahani sana. Siwezi kuamini viclips na vi photos vya mtandaoni ambao havijulikani source zake eti nivitumie kuthibitisha propaganda.
Yaani nikuamini wewe mrusi ulipo makutupora unaposema propaganda wakati haya mashirika yapo front line kabisa. kwenye battlefield na kwanini wanaposema mafanikio ya russia hamsemi propeganda au ndo vile kunyata anyate kinyonga akinyata kicheche anaiba kuku?
Akili mgando hizi BBC wanapo pata habari mwisho inataja vyanzo vilivyo thibitisha icidents na kama hamna inasema hii habari haijatoka kwenye vyanzo huru. Na hua inajitahid kutafuta habar ya upande wa pili wa shilingi inapo kosa inasema imekosa.
Hivi kuna asie jua kua russia ndio baba wa propaganda duniani.? yupo radhi hata kuvamia majeshi yake kwa silaha za kemikal ili tu kupata legitimize kutimiza agenda zake.
Au angekanusha hadharani. kwani anachokutana huko ground ni aibu tupu. Ukraine imesema tumeua 26000+ mrusi mbna hakunushi. anajua akikanusha ataanbiwa leta idadi zako. Russia anajua idadi halisi ni zaid ya 30K+. hivyo anashkuru kuona idadi ikio tolewa ni ya chini.
Kusema Russia haitumii full force ni Chizi tu ndio atakae kuamini. Miezi mitatu wakimbizi zaid ya 6 milion. ni uthibitisho wanatumia full force. ICBM na meli kubwa za kivita uthibitisho tosha. Magenerals kuuwawa ni uthibitisho tena kusema hajatumia silaha zilizopo kwenye hifadhi ni uongo.
Kwanini?
Misafara ya vifaru mirefu na meli kubwa ya moscova na hypersonics na ICBMs inaonesha kabisa kilicho baki ni kutumia nyuklia tu
Sasa rusia anaonekana ni kituko cha kimataifa hadi washirika wake wana muona mwehu mwehu. mikakati hapa sasa ni kumyanga mwenda wazimu panga.
NB: Leteni source zenu hata za tbc we leta usilete viclips vilivo editiwa hapa Russia kanivunja moyo mbwa huyu.
Kuweka emoji nyingi za kucheka ndiyo kuonyesha jinsi gani ulivyokuwa frustrated na vita hii
Boris Bondarev, mwanadaplomasia mzoefu wa Russia katika ofisi za UN Genevea amejiuzulu katika kazi yake akiandika barua kali inayosema anaona aibu kuhusishwa na matendo nchi yake kwa sasa na hawezi kuwa sehemu ya kinchoendela. Pia ameandika Putin ameigeuza Russia kuwa igizo la hofu kuu.
Mleta.mada ni kizabizabinaKama West washajua udhaifu ya warusi mbona hawaingii vitani Rasmi?kwanini wanaingia Kwa mgongo wa nyuma wanaogopa nini?
Mleta.mada ni kizabizabina