Daaah ilikua hivi
Wachinjaji walienda machinjioni kuchinja Ngombe walipo fika machinjioni wakawakuta Ngombe wameshika visu wanawasubiri wachinjaji. hadithi ya wachinjaji walio chinjwa na Ngombe .
sikia hii habari ya majuzi kabla ya askari 1000+ walio kufa wakivuka mto. jana
Source BBC: Copyright: Reuters) Urusi ilipoteza wanajeshi 26,350 tangu ilipoivamia Ukraine tarehe 24 Februari, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ilisema katika sasisho lake la hivi punde.
Ukraine inadai jumla ya hasara iliyopata Urusi ni pamoja na:
- Vifaru 1,187
- Magari 2,856 ya kivita
- Mifumo 528 ya kivita
- Mifumo 185 ya kurushia roketi
- Mifumo minane ya ulinzi wa anga
- Ndege 199
- Helikopta 160
- Ndege 290 zisizo na rubani
- Makombora 94 ya meli
- Meli 12 au boti
- Magari 1,997 na malori
- Vitengo 41 maalum vya vifaa
Na bado
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lyod Austin,amesema kuwa Msaada wa kifurushi kipya ( halichachi bando) GB bilion 40 us dola utajumlisha Silaha za masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia Kilometa 220+.yaaani kifurushi kinauwezo wa Kupiga Crimea..
Ikumbukwe kuwa, Kwa zaidi ya miezi 2 Sasa, Wanajeshi zaidi ya 500 wa Ukraine walikuwa Nchini Poland na Romania wakipatiwa Mafunzo ya jinsi ya Kutumia Silaha za Marekani.
Tujiulize: Kidogo
Russia hana hypersonics? ( combora ambalo halisikii rada wala cha Air defence systms ) jibu Anazo
russia hana ndege imara? jibu anazo
je rusia hana air defenc system za kulinda misafara yake? jibu anazo za kushiba zingine anauza nje
je russia hana intelligent ya kutosha? anazo.
Upande wa pili.
je ukraine misaada aliyo pewa amepewa na hypersonic bombs? HAJAPEWA
Je, kapewa yale mandege makubwa ya new generation ya Nato k.v F35 jibu Hajapewa kwanza hajui hata kuyatumia.
ukiacha javeline. je ukraine anatumia silaha yoyote ambayo mrussia hana? jibu ni hapana
tena hata misaada anayopewa ukraine ni silaha ambazo magharibi wanazidump kuziondoa kwenye stock
je haya magwaride anayooneshaga mrussi hiki ndicho tunachokiona live?
Hakika nimekata Tamaa. Urusi imenivunja moyo wangu.
sikia hii
katika Ripoti ya this week,Jeshi la Ukraine limevikomboa vijiji 7 katika mji uliotekwa na Urusi wa Kherson tangu mwezi Machi. Pia Jeshi la Ukraine limedai kuwarudisha nyuma Wanajeshi wa Urusi kwenye mji wa Kharkiv.
na ukiskia Myukraine kakomboa hata kijiji kimoja ujue russia kachapika kweli
Putin mwezi march alikiri kupoteza askar 1,500. apo bado. na vita hadi leo vinaendelea yani kama vimeanza jana.
emb tufanye kama kupoteza askar 26+ ni propaganda bas tutumie akili zetu kuchambua.
1. wakati mheshimiwa putin. anapeleka wanajeshi ukraine mwez april mwezi march russia ilikiri kupoteza askari takriban 1500/
pro warusi wenzangu hawa askari buku jero walio kufa ni ile shughuli ya pale kivy. tu. na russia ilikiri kupata hasara so tuchambue kuanzia hapo tuachane na propaganda.
na historia inaonesha
ukiona mrusi karudi nyuma vitani ujue kweli kakutana kitu kizito na hao 1500+ inaweza kua zaidi. tufanye sio zaid ya hio idadi
2. tangu mheshimiwa putin apeleke jeshi ukraine hadi leo ni miez mingap. ni miez 3+. tufanye hio idadi imeongezeka hata x 1.5ya walio kufa tutumie kigezo cha kuendelea kwa vita na kushindwa kusonga mbele na majeshi ya russia kurudishwa nyuma pale karkhiv. toka kwenye maeneo walio kuwa wamesha yatekaga.
tutumie kigezo cha russia kuto kutoa data za maendeleo ya vita na hata data akitoa yeye kazi yake ku generalize tu.
hawi spesific.
itakua ngap so idadi ya chini ukicalkulate inaweza kufika askari 1000 at least so kusema had now wamekufa 26000+ ujue kuna kaukweli fulani.
SASA kuna wanao sema askar kufa vitani ni kawaida sana. oky fresh ni kawaida
lakini
mnakufaje askar 20000+ kufa vitani within 3 month ? daaah tena askar wa superpower nilie mtegemea.
mwenye zana za kutosha. apana kwa kweli
UKRAINE Ilikua sehem ya russia zaman so hakuna sehemu russia asipo pajua pale ukraine jumlisha na silaha za panasonic anazotutambia katika magwaride yake yan kashindwa kujua Mr. comedian yupo wapi amuagizie kombora moja tena sio la nyuklia bali la panasonik lile kubwa kubwa. amalize vita.
yani mnataka kuniambia putin hajui kwenye geographia ikulu ya Ukraine ipo wapi kweli?
kombora halina tiba wala kinga dhidi ya mifumo ya ulinzi na accuracy yake ni 98%.
jamani ee tuache unazi rusiia sio kama tulivyo mdhania.
siongelei waukraine walio kufa vitani wala sitaki kuchambua huko kwa sababu.
chukua mfano waukraine askari walio kufa lets say wamekufa askari laki tatu
hoja ni kuwa supapawa unapotezaje askari elfu 20000+ ????
unapotezaje majenerali?
unasema oparation tu halafu unatumia had moscova
oparation unatumia 1/3 ya askari wa ardhini wanao linda taifa la rusia wanaenda ukraine
operation unatumia hadi silaha zilizo kwenye akiba?
operesion unatumia ICBM? kombora la kuvuka mabara unalitumia dhidi ya jirani yako wachumba cha pili tu apo halaf unasema oparation. apana kwa kweli.
sipati jibu.
rusia imenivunja moyo.
hoja kusema ukraine anasaidiwa silaha sidhan kama ina mashiko
mfano
mtoto anapigwa na mtu mzima kwa kutumia fimbo na visu halafu watu wakamsaidia mtoto kumpa japo na yeye fimbo imsaidie asinyamaze kimya apigane. hio itakua ni big inshu jaman?
ukraine hakuwa anasaidiwa silaha nzito
sasa majuzi kati
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lyod Austin,amesema kuwa Msaada wa kifurushi kipya ( halichachi bando) GB bilion 40 us dola utajumlisha Silaha za masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia Kilometa 220+.yaaani kifurushi kinauwezo wa Kupiga Crimea..
pro Russia sote tuungane kuomba vita viishe Russia anatutia Aibu
technique kubwa ya Ukraine ukiwa unavamia mji fulani huwa dizain kama wanakuacha uingie na ili kukupoteza maboya wanakuonesha kaupinzani feki ili ujisifu na kujihakikishia
then wanajua kabisa sehemu mlipo pateka ndipo patakua kituo cha kujikisanya na kukusanya silaha nzito hapo sasa zile silaha zaid zinapokua njiani kwa sababu zinakuja kutoa backup na zina kuja kimsafara inakua rahisi kuziona kwenye satelite sababu ni nyingi apo zikishambuliwa askari walio teka mji wanashikwa na kihoro kisha nawao wanaanza kushambuliwa mbaya zaid mashambulizi ya ukraine ni vigumu kujua yanatokea wapi maana huwa hawajirundiki kama warussia
hii ina maana ili kuangamiza kikosi cha askari wa ukraine 1000 utahitaji makombora 1000
lakini ili kuangamiza kikosi cha askari 1000 wa russia utahitaji makombora mawili tu.
kitaalamu tunasema mbuzi kala Mbwa.
Mwisho
sijaongea kishabiki nimeamua kutoa tu hisia zangu zidi ya Taifa ambalo nililiamin ndio namba moja duniani interms of Military power Rusia
* ITAENDELEA*