China nimatapeli sana kama waswahili ndio wamewekeana sheria ngumu mpaka za kunyongaChina, North Korea na India ni wanafiki sana. Kaka yao anapigwa wao kimya.
Usimuamini MCHINA na MUHINDI hata siku moja. Wapo kimaslahi zaidi.
Tatizo linaweza linatokana na makamanda wao wanatoa amri za kikudaSiyo Kama unavusha maandazi ni Kama anaswaga man'gombe.
hahahaaaaaaIle column ya 64km y vifaa / magari ya jeshi na wajeshi kuelekea Kyiv kushney?
Pale kidarajani lile pigo amepigwa halikupaswa kupigwa kwa dunia ya sasa. Unavusha vifaa mtoni kama unavusha maandazi.
Russia ni hopeless
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
unataka kuipiga NATO kwa kuivamia non - NATO nation , kwan Estonia na Latvia ni mbali sana ?Nadhani Russia anawazarau Ukraine ndio maana hatumii madudeyake.
By the way alishasema na anaendelea kusema kwamba anachofanya ni operation na sio vita.
Sisi tunaona hizo ICBM anazotumia, kwake yeye nizakiwango cha operation.
Labda anavutavuta muda ili anaowataget wakiingia kwenye 18 zake ndio tutamjua vizuri.
Kuhusu kujua mahali alipo Zelensky wamfyatue ilikumaliza vita naona labda hana haja ya kumuuwa Zelensky anavutavuta muda ili NATO wajiingize ndio atuonyeshe jinsi alivyo, putin anaumwezo, kumbuka alivyo piga ICBM kutokea Caspian sea na kulenga shabaha kwa wanamgambo wa ISS Syria.
Naamini Russia uwezo wanao japo sio kwa kiwango cha kuwatishia sana wengine.
Inaonekana niwataalam wa silaha lakini War strategic ndio zero.
Ha ha haTena Ng'ombe za kisukuma na sio za Kimasai maana Masai havushi Ng'ombe kizembe.
MaandaziHa ha ha ha unavusha silaha mtoni kama unavusha nini?
Siyo Kama unavusha maandazi ni Kama anaswaga man'gombe.

kama wamasai wanaenda mnadani bhana
Wajinga sanaHa ha ha ha unavusha silaha mtoni kama unavusha nini?

kwa akili ndogo tu huwezi vusha vifaa vingi kiasi kile na wanajensi bila aerial support hata ya Vidrone tuMkuu mbona unawakubali hao Russia alafu unawatilia mashaka tena?Nadhani Russia anawazarau Ukraine ndio maana hatumii madudeyake.
By the way alishasema na anaendelea kusema kwamba anachofanya ni operation na sio vita.
Sisi tunaona hizo ICBM anazotumia, kwake yeye nizakiwango cha operation.
Labda anavutavuta muda ili anaowataget wakiingia kwenye 18 zake ndio tutamjua vizuri.
Kuhusu kujua mahali alipo Zelensky wamfyatue ilikumaliza vita naona labda hana haja ya kumuuwa Zelensky anavutavuta muda ili NATO wajiingize ndio atuonyeshe jinsi alivyo, putin anaumwezo, kumbuka alivyo piga ICBM kutokea Caspian sea na kulenga shabaha kwa wanamgambo wa ISS Syria.
Naamini Russia uwezo wanao japo sio kwa kiwango cha kuwatishia sana wengine.
Inaonekana niwataalam wa silaha lakini War strategic ndio zero.
Icbm ukraine????Nadhani Russia anawazarau Ukraine ndio maana hatumii madudeyake.
By the way alishasema na anaendelea kusema kwamba anachofanya ni operation na sio vita.
Sisi tunaona hizo ICBM anazotumia, kwake yeye nizakiwango cha operation.
Labda anavutavuta muda ili anaowataget wakiingia kwenye 18 zake ndio tutamjua vizuri.
Kuhusu kujua mahali alipo Zelensky wamfyatue ilikumaliza vita naona labda hana haja ya kumuuwa Zelensky anavutavuta muda ili NATO wajiingize ndio atuonyeshe jinsi alivyo, putin anaumwezo, kumbuka alivyo piga ICBM kutokea Caspian sea na kulenga shabaha kwa wanamgambo wa ISS Syria.
Naamini Russia uwezo wanao japo sio kwa kiwango cha kuwatishia sana wengine.
Inaonekana niwataalam wa silaha lakini War strategic ndio zero.
Ndio, nawakubali kwenye silaha lakini mbinu za upiganaji naona kama wanakwama mahali.Mkuu mbona unawakubali hao Russia alafu unawatilia mashaka tena?