maege
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 309
- 73
Taarifa fupi ya mgonjwa anayehitaji damu kundi O- leo 28/10/2019. Huyu ni mkazi wa Mara aliyafanyiwa uhamisho kuja hospitali ya rufani (Bugando). Anasumbuliwa na figo pia anatakiwa kufanyiwa upasuaji ila kabla ya hapo anahitaji drip nne za damu (group O-)
Baada ya kutuma tangazo hilo sehemu nyingi tumefanikiwa kupata watu wawili tu wakuchangia damu na hii baada ya kupata ushirikiano pia kwenye ofisi ya damu salama Kanda ya Ziwa. Ila bado kuna upungufu katika kukamilisha zoezi hili. Nimefanikiwa kumuona mgonjwa na wanao muuguza, kiukweli hali yake bado.
Naomba sana wapendwa tuendelee kusambaza ujumbe huu muhimu ili kupata watu watakotusaidia kumuokoa mwenzetu kwani imeonekana O- ni adimu mno. Kwa yeyote atakayepata mtu atakayetusaidia katika jambo hili asisite kunipigia kwa namba 0762 680 373.
Nipende pia kutoa shukrani za dhati kwa yeyote anayeguswa kumsaidia mgonjwa huyu hata kwa maombi pia hakika Mungu wa mbinguni atakuonyeshea baraka zake tukufu.
Wenu
Kulwa lenayo
M/kiti ASBLA Mwanza
0762 680 373
ASBLA: Life is in blood.