Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,652
- 5,133
waallah nilijua kama tatizo ni hilo.None of them!
Gambling addict; I have lost everything and am on verge of losing my self
waallah nilijua kama tatizo ni hilo.None of them!
Gambling addict; I have lost everything and am on verge of losing my self
Ahahahahah.Mpaka umeandika kwa kimombo,basi ulishapona. Huwezi ukawa na matatizo halafu ukayawasilisha kwa lugha ngeni,utakuwa haupo serious wewe....
Asante SanaOk, nimekuelewa, nafikiri labda ambacho kingekutibu zaidi ni kukutana na kundi la watu waliocheza kamari na kufilisika kama wewe halafu mka share story ili kujiona haupo peke yako, nafikiri wapi wengi ila kupata hiyo platform ya kukutana ni ngumu kwa sababu uraibu wa kamari hauchuliwi serious kivile Tz
Lakini nachoweza kukushauri ni kuwa kwa umri wako wa miaka 27 ndio kwanza kama unaanza maisha, bado una miaka mingi ya kurekebisha makosa yako na kuweka maisha yako straight, makosa uliyofanya ni reversible kutokana na umri ulionao
kizuri tayari ushagundua makosa yako na una majuto na unaweza kuji control, hiyo nafikiri ni step moja kubwa ya kwanza
How?waallah nilijua kama tatizo ni hilo.
kaka,tatizo ni picha uliyoijaza kichwani jaribu kierase everything you held about winning,earning and lossing,accept your are losser starting came up again.Addicted to gambling
Huyu haitaji mtu he needs himself .. kama ni mtu wa vitabu au YouTube atafute interview za David Goggins tu slowly atabadilika ..... Ppo hv been fuwkd up more than him and were able to themselves out of their shistsOk, nimekuelewa, nafikiri labda ambacho kingekutibu zaidi ni kukutana na kundi la watu waliocheza kamari na kufilisika kama wewe halafu mka share story ili kujiona haupo peke yako, nafikiri wapi wengi ila kupata hiyo platform ya kukutana ni ngumu kwa sababu uraibu wa kamari hauchuliwi serious kivile Tz
Lakini nachoweza kukushauri ni kuwa kwa umri wako wa miaka 27 ndio kwanza kama unaanza maisha, bado una miaka mingi ya kurekebisha makosa yako na kuweka maisha yako straight, makosa uliyofanya ni reversible kutokana na umri ulionao
kizuri tayari ushagundua makosa yako na una majuto na unaweza kuji control, hiyo nafikiri ni step moja kubwa ya kwanza
It's nothing homeboy... U can get up again trust me... You are not doneI've lost too much mkuu, this is too much for me.
I told you try to calm down then erase every memories you shared at the gambling,I think it is the best way for you.I've lost too much mkuu, this is too much for me.
To me he is not supposed to forget those memories but use them as a fuel to come back a better person.... He just needs to stop caring or thinking about those ppo and things he lost and use them as a fuelI told you try to calm down then erase every memories you shared at the gambling,I think it is the best way for you.
You have to think how much you lost vs earn in the Gambling,How it make you worthless,sadness mood,what you feel and then decide to move on.
Kipindi flani nami nilikuwa na matatizo miaka ya 2012/13 hivi, nilijaribu kuwatafuta bila mafanikio ila nikaja kuona ni ufala kutegemea hao watu, japokuwa kila mtu na strength yake, ila naona kufanya self reflection, mindfulness inasaidia zaidiHao watu wa psychology huwa hawasaidii wataenda kukutengenezea matatizo ya sijui umelelewa vipi anaanza kukujaza mambo mengine usiyokuwa nayo ili adhibitishe kuwa yeye yuko sawa kama akiamua una trauma flani, technic kama hypnotherapy zinaweza kukupa kumbu kumbu ambazo hazipo kichwani mwako.
Yes asome au aangalie real life stories watu waliopitia magumu and they overcomed them.. atajiona mwepesi sana kugive upKipindi flani nami nilikuwa na matatizo miaka ya 2012/13 hivi, nilijaribu kuwatafuta bila mafanikio ila nikaja kuona ni ufala kutegemea hao watu, japokuwa kila mtu na strength yake, ila naona kufanya self reflection, mindfulness inasaidia zaidi
Hata kuangalia movie za kivita za kweli au kusoma historia ya vita huwa inasaidia kupona.
Maana unapata encouragement kama hawa watu walipoteza vitu hivi, kama vile muda, familia, fedha, mali, viungo vya mwili n.k na bado waka survive tatizo lako unaliona ni dogo sana
Dogo hizo zilizopotea zimepotea, achana nazo.I've lost too much mkuu, this is too much for me.
aise mna kipaji,yani naonaga ni kitu kigumu sana tena sana,nahisi hata anayekuwa anakusikiliza ili akusaidie kwanamna yoyote, atakuona kama ...Ahahahahah.
Nikiwaga nimekasirika na tuko kwenye conversation, mara nyingi najikuta kugha pendwa inayonijaa ni English. Maneno machache ,yako straight.
Kwa mtoa maada sawa. Ila kwamimi niiishapagawa hapo sihitaji msaada wa mtuaise mna kipaji,yani naonaga ni kitu kigumu sana tena sana,nahisi hata anayekuwa anakusikiliza ili akusaidie kwanamna yoyote, atakuona kama ...
daah! Pole sana mkuu.Seriousness is what I wanted.
Washauri wa kweli wanareach out.
Then usichukulie vitu kiutani mkuu, remember table turns