Urgently ; I need a psychologist

Urgently ; I need a psychologist

Mpaka umeandika kwa kimombo,basi ulishapona. Huwezi ukawa na matatizo halafu ukayawasilisha kwa lugha ngeni,utakuwa haupo serious wewe....
Seriousness is what I wanted.
Washauri wa kweli wanareach out.

Then usichukulie vitu kiutani mkuu, remember table turns
 
I hear this voices on my mind 'you are worthless and you don’t even matter.'
Ingia gym, Fanya mazoezi, au Fanya hata ya kukimbia, au Fanya hata ndani, mazoezi ni Tiba nzuri sana ya stress na depression
Ukifanya zako mazoezi lala, kisha kama una marafiki au ndugu nenda mpige story

Psychologist kwa bongo unaweza kukesha kuwatafuta. Au hata ukalipishwa gharama kubwa na wala usipone
 
None of them!
Gambling addict; I have lost everything and am on verge of losing my self
Tupa hiyo smartphone, nunua simu ya tochi, kama una kazi nenda kazini, ukishatoka kazini fanya mazoezi yako, kisha kula chakula, kama una marafiki nenda kapige nao story, baada ya hapo lala
Wikiendi fanya mazoezi, au lima hata bustani, tafuta kazi yoyote ya kukuweka bize na kujichosha
Smartphone weka mbali kabisa,
 
Relax
hapo hamna ata haja ya psychologist ni wewe tu uamua kwanzia sasa naacha kamari..

kila kitu kinaanzia kwenye akili yako.
Kwa wengine sio rahisi, kila mtu na maumbile yake. Na hasa enzi hizi za teknolojia ya mawasiliano, upo na simu na intanent,na makampuni mengi ya kamari mtandaoni, ni sawa na kuwa ndani ya Casino muda wote
 
Unataka ushauri wa kianaume au wa binti wa maiaka 12

Kama wa binti wa miaka kumi na mbili wengi washakupa huko ila kama wa kiutu uzima kama mwanaume acha kujikunyata kisa umepoteza kwenye betting watu wanapoteza viungo vyao mikono, miguu au macho ila hawakati tamaa wapo mitaani wanatafuta maisha, we unahisi watu wote humu jamii forum tuna maisha mazuri, tuna magari, nyumba familia hapana watu wanapitia matatizo ila wanajikaza kama watu wazima. Umepoteza anza upya
 
Unataka ushauri wa kianaume au wa binti wa maiaka 12

Kama wa binti wa miaka kumi na mbili wengi washakupa huko ila kama wa kiutu uzima kama mwanaume acha kujikunyata kisa umepoteza kwenye betting watu wanapoteza viungo vyao mikono, miguu au macho ila hawakati tamaa wapo mitaani wanatafuta maisha, we unahisi watu wote humu jamii forum tuna maisha mazuri, tuna magari, nyumba familia hapana watu wanapitia matatizo ila wanajikaza kama watu wazima. Umepoteza anza upya
Hard truth but napokea.
 
Intensity ya madhara niliojiletea ndio inanisumbua wala sio kuacha.
Uchumi huna, family imekutenga, kukosana na kila mtu wa mhimu nk
Ok, nimekuelewa, nafikiri labda ambacho kingekutibu zaidi ni kukutana na kundi la watu waliocheza kamari na kufilisika kama wewe halafu mka share story ili kujiona haupo peke yako, nafikiri wapi wengi ila kupata hiyo platform ya kukutana ni ngumu kwa sababu uraibu wa kamari hauchuliwi serious kivile Tz

Lakini nachoweza kukushauri ni kuwa kwa umri wako wa miaka 27 ndio kwanza kama unaanza maisha, bado una miaka mingi ya kurekebisha makosa yako na kuweka maisha yako straight, makosa uliyofanya ni reversible kutokana na umri ulionao

kizuri tayari ushagundua makosa yako na una majuto na unaweza kuji control, hiyo nafikiri ni step moja kubwa ya kwanza
 
Hard truth but napokea.
Hao watu wa psychology huwa hawasaidii wataenda kukutengenezea matatizo ya sijui umelelewa vipi anaanza kukujaza mambo mengine usiyokuwa nayo ili adhibitishe kuwa yeye yuko sawa kama akiamua una trauma flani, technic kama hypnotherapy zinaweza kukupa kumbu kumbu ambazo hazipo kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom