URGENT to remove star up in WINDOW XP

Computer yangu inachelewa ku run XP wakati unaiwasha inachukua muda sana kuwa sasa nina wasiwasi kwani mtu niliomuazima alikuwa anadownload vitu kibao sasa naona Miprogram hiyo ina run natakla nikiwasha Iwake Fasta kwani nilijaribu kurecovery lakini inakataa sasa inahitaji kuinstall upya sasa nimeona nilifikishe kwenu kama inawezekana basi niiokoe maana inachukua dk 30 kuwaka, nilijaribu kuingia kwenye net nimeambiwa niirun msconfig sasa hata run yenyewe siioni sasa msaada,Samahani nimeshindwa kupanga maelezo
 
  1. Unisntall unwanted program
  2. Pia kwenye computer management unaweza kubadilisha baadhi ya services ambazo sio muhimu na hazitumiki mara kwa mara from Automatic ziwe Manual au Disabled
  3. Tafuta software ya registry cleaner. na clean registry yako
Kama hizo solution bado ni njia ndefu kwako basi fanya

Nenda kwenye start -programs- Accessories- System tools- System Restore. Soma maelekezo ikifika tarehe chagua ambayo siku chache kabla hujamuazima huyo mtu. XP ita restore mashine yako kama ilivyokuwa tarehe hiyo.

Good Luck
 
Back
Top Bottom