Urgent: Research and proposal/feasibility study in fertilizer industry

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,856
762
Wadau nina mpango wa kuwekeza kwenye Fertilizer Industry lakini kabla ya hapo ninahitaji inputs mbalimbali muhimu kupitia business proposal /feasibility study itakayofaa kuchukulia Loan au Grant.Kwa mwenye ufahamu kuhusu masuala haya naomba ani PM kwa mazungumzo zaidi.Only serious guys here please!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom