House4Rent Urgent:Nyumba ya Kupanga Inahitajika

authentic05

Member
Aug 15, 2016
89
83
Habari wakuu, Nahitaji nyumba ya haraka sana,
Sifa:
Vyumba Viwili+ Jiko

Isiwe mbali na barabara kuu ya Morogoro road
Iwe inafikika kwa Gari,
Maeneo -Kimara mwisho kurudi hadi Ubungo au Survey au Sinza
Iwe ya Kisasa
Budget 250k-300k malipo 3-6Months

Tafadhali PM urgently..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom