Hawawez kuja kigamboni huku gezauloleKaribu kuqualify unachohitaji.Kama ni AirBnB Siyo kila sehemu kuna wateja.Wateja wa AirBnB Kwa Dar hawapendi Zaidi ya Mwenge,wakianzia Posta,kuja Upanga,Msasani Peninsula,Mikocheni,Kawe beach.Huko kwingine wanadhani ni porini.Jikadirie Sinza...