urgent MWENYE CONVERT PDF TO MS WORD ANIDONDOSHEE AU PDF TO EDIT

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
WAKUU HESHIMA MBELE

KITAMBO SIKUONEKANA MAJUKUMU YAMENIZONGA.

NATAKA KUEDIT PDF MWENYE PDF CONVERT TO MS WORD PLEASE ANIDONDOSHEEEE

TAFWAZALI WAKUU

email:masqtz@yahoo.com
 
Utanisamehe kwasababu natumia simu sintoweza kukuwekea hiyo software, ila fungua www.bitsnoop.com na search for pdf to word, ila kuidownload inakubidi uwe na torrent application katika mashine yako. Uliza ukikwama sehemu!

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Ninayo SOFTWARE ya NITRO-PDF ni ya ukweli kinoma lakini bahati mbaya ni MB 102 so hamna namna ya kukutumia maana ni kubwa sana kutumwa kwenye e-mail!Sijui nikusaidiaje mkuu?
 
Njia rahisi ni yeye kuingia katika torrent sites na kudownload hiyo Nitro-PDF. Tayari umemsaidia kwa mumention tu hiyo software.

Una windows 8? Install ms office 2013 ina kila kitu
 
Njia rahisi ni yeye kuingia katika torrent sites na kudownload hiyo Nitro-PDF. Tayari umemsaidia kwa mumention tu hiyo software.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

Lakini hii software huwa inauzwa sijui kama ataweza kuidownload for free kutumia torrent labda ataambulia trial version tu.
 
Kwenye matorrent zinapatikana za kuchakachua (cracked) unatumia life time hiyo ndiyo siri ya watu kujichimbia huko.
Hata sineme zimejaa tele huko zingine hata kuzinduliwa bado but ukiingia huko unazipata kabla ya DVd.
 
Aaah kumbe!Mwenzio bado nipo karne ya 20!Akhsante kwa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom