Urgent Help, Msaada wa Haraka Wakuu,

Urgent Help, Msaada wa Haraka Wakuu,

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,232
Wakuu pc yangu inakataa kulog in as adminstrator, inajibu the referenced account is locked out and may not be log on, nimejaribu guest account nayo inajibu user profile can not be loaded, msaada wakuu maana nimepoteza administration na guest account pia, nafanyaje? Natanguliza shukrani
 
watu sio kwamba hawaioni hii ujue bado wanaumiza vichwa
 
Wakuu pc yangu inakataa kulog in as adminstrator, inajibu the referenced account is locked out and may not be log on, nimejaribu guest account nayo inajibu user profile can not be loaded, msaada wakuu maana nimepoteza administration na guest account pia, nafanyaje? Natanguliza shukrani

Kirusi kisha shambulia pc yako..
 
Back
Top Bottom