Eid Mubarak jirani
jirani usicheke bwanauwii
Minalifaidhina jirani yangu, Eid njema na kwako pia....Eid Mubarak jirani
Hahaha usicheke Karucee..imebidi niwe mpole kwanzaAisee nimecheka sanaaa.
Halafu umejibu kwa upole mnooo.
Ni maturity ya hali ya juu and I love it.Hahaha usicheke Karucee..imebidi niwe mpole kwanza
Hongera umependeza sana!!View attachment 1783061mie tayari
Asantee, nzuri tu jirani yangu Hamdulillah' tunapumuaMinalifaidhina jirani yangu, Eid njema na kwako pia....
Za siku jirani?
Mkuu kama ni ndoa tualikane
Maana sio kwa kupendeza huku
Shukrani Karucee!! Eid mubarakNi maturity ya hali ya juu and I love it.
Hahaha hapana, ni kusherehekea sikukuu ya eidMkuu kama ni ndoa tualikane
Maana sio kwa kupendeza huku
sehemu kama hizi huwa hauniachi salama jirani
Eid Mubarak DearShukrani Karucee!! Eid mubarak