Nyotinzuri
Senior Member
- Mar 17, 2017
- 135
- 200
Ha ha ha kwakweli ni yesu kanipendahahaha angekuwepo mamangu(msabato) akusikie umeongea hivyo hahaha angesema mwanangu YESU ANAKUPENDA SANA NA AMEKUTEUA! NJOO SASA KANISANI! hahahahaha! yaan dah!
Ahsante ngoja nicheki mrejesho utafata tehEvelyn huu hapa muongozo, dakika 10 tu.
Jikubali, kucha za kubandika zina madhara makubwaVipi kuvaa cheni kwenye mguu,we hupendi??Kwenye kucha hapo kama una kucha nzuri hakuna haja ila kama hazina muelekeo ningekushauri uwe unabandika tu maana kuna zinazobandikwa zikapendeza mpaka ukahisi muhusika kazaliwa nazo,kuacha kucha zako za asili halafu vikucha vyenyewe vifupi mbele vimebinuka hiyo haikubaliki kwa kweli...
hahahaha unachosema mkuu ni kweli 100% nina shoga angu jaman ana sauti ngumuu! hahahah hajuag kubembeleza alwys yuko harshy! ila nampenda alivyo!
Hii ni kweli! Nimekuwa nikijiuluza hii kitu kwa wanyakyusa, sauti kama wanatukana halafu nzito balaa, kiongozi wao Bahati Bukukuwanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..
Hii ni kweli! Nimekuwa nikijiuluza hii kitu kwa wanyakyusa, sauti kama wanatukana halafu nzito balaa, kiongozi wao Bahati Bukuku
Tafwadhali, tuwacheni na vocal zetuHii ni kweli! Nimekuwa nikijiuluza hii kitu kwa wanyakyusa, sauti kama wanatukana halafu nzito balaa, kiongozi wao Bahati Bukuku
Teh najiona mimihahhaha huyu yeye amechika kwa bwana kisa sauti! hajui kubembeleaza au kuongea kawaida! yaan ukwel nachekaga sana sabab za yy kuachana!ukikaa nae hata hotel akiwa anaagiza msos utahis km anachamba kumbe ndo ongea yake hahahaahahah
Teh najiona mimi
Fyatu fyanguHahahaha nawapenda sana huwa napenda kukaa nao nichekeee!fiparachichi fya elfu moja(in nyaky voice)
Hapo kwenye kuvaa wig ni shida au wanja hata kwenye nyusi tu... Bora mtu uwe natural kama mtu anakupenda akupende hvo... Unakuta mdada kajilipua had anafanan na kinyonga
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kabsatunarud kule kule jipende kwanza mwenyewe.....
hahaah findisi !
Hapo kwenye kuvaa wig ni shida au wanja hata kwenye nyusi tu... Bora mtu uwe natural kama mtu anakupenda akupende hvo... Unakuta mdada kajilipua had anafanan na kinyonga
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kupaka mafuta mazur na poda na lipstick mara moja moja..!na kusuka yebo yebo bask
kwahyo urembo wako ni nn mwanakwetu!