Kama nimeshalipa instalment 3, ile ya mwisho si inabidi accounts zangu zipitiwe kuona nilitengeneza faida kiasi gani? Makadirio yanaingiaje hapo!Kodi lazima ikadiriwe halafu wewe utaitetea kwa accounts zako kwa Sababu provisionally unakuwa ulijikadiria wewe mwenyewe
Tunza kumbukumbu zako vizuri
Mkoo umetoa JIBU zuri ila sio kama Jibu la Mlipa kodi bali ni la Mla Kodi.Kodi lazima ikadiriwe halafu wewe utaitetea kwa accounts zako kwa Sababu provisionally unakuwa ulijikadiria wewe mwenyewe
Tunza kumbukumbu zako vizuri
Accounts zinatengenezwa annuallyKama nimeshalipa instalment 3, ile ya mwisho si inabidi accounts zangu zipitiwe kuona nilitengeneza faida kiasi gani? Makadirio yanaingiaje hapo!
Kwanza kila installment kabla hujalipa ni muhimu upitie hesabu zako uone kama kuna ziada ya kodi au kuna Pungufu ya Kodi Hii inakusaidia sana katika TAX planning.Kama nimeshalipa instalment 3, ile ya mwisho si inabidi accounts zangu zipitiwe kuona nilitengeneza faida kiasi gani? Makadirio yanaingiaje hapo!
Umeupiga mwingi sana.Mkuu kuna Point fulani Unayo ila sasa Jinsi ulivoiweka Hata TRA hawataelewa.
Kwanza nianze na Utaratibu wa Makadirio,
Utaratibu wa makadirio una utaratibu wake na Kanuni zake.Kuna threshold za Kiwango cha Mapato na kiasi cha kodi unayopaswa kulipa.Sasa kwenye kuamua kiwango cha mapato TRA wanatumia vyanzo mbalimbali vya Taarifa zikiwamo Taarifa zinaotolewa na walipa kodi wenyewe,aina ya biashara,eneo la biashara na wakati mwingine hali ya kiuchumi.Sasa katika kufanya hivyo unaona kabisa kwamba Upo Utaratibu mzuri na Rahisi wa kuweza kusimamia Hiyo kodi ya Makadirio.
Sasa Tatizo ni nn?
Kwanza Tatizo ni Watanzania kutokuelewa kuhusu elimu ya kodi na sheria za kodi pamoja na haki zao kama walipa kodi na wajibu wao kama walipa kodi.
Suluhisho:
Suala kama hilo haliwezi kurekebishwa kwa sheria kali wali amri kali.Ni suala ambalo litachukua muda likihitaji wananchi kuendelea kujifunza na TRA nao kuendelea kujifunza na kuboresha Huduma zao.
Swala la Pili ni kuhusu hiyo kodi ya 18% ambayo inaitwa VAT,Kwanza tuelewe kwamba kodi ya VAT au kama inavyoitwa Sales TAX lengo lake kubwa ni kupanua wigo wa ulipaji wa kodi na kurahisisha ukusanyaji wa kodi.Kodi ya VAT inatozwa kwa assumtion kwamba yule mlaji wa Mwisho Ndio atakuwa mlipaji.Sasa Tafsiri ya Mlaji wa mwisho ni nani ndipo ambapo watu inabidi waelewe.Kwa mfano,Ukienda Sokoni ukanunua Mboga au uakaenda dukani kwa mangi ukanunua Bidhaa ambayo inatozwa VAT(Zinagatia kwamba sio kila bidhaa inatozwa VAT) basi ufahamu kwamba Wewe ambaye unaenda kutumia bidhaa hiyo Ndio Mlipaji.Hata kama utapewa Risit ambayo haina VAT bado wewe ni mlaji wa Mwisho.Yule Muuzaji wa Duka kwa sababu Yeye hajasajiliwa na VAT naye ni Mlaji wa Mwisho katika Mtazamo wa Kikodi mpaka atakapokuwa amesajiliwa kukusanya VAT.Kwa mtu ambaye amesajiliwa VAT yeye ataidai Mamlaka ya Mapato Ile Tofauti ya Kodi kati ya Makusanyo yake kutokana na Mauzo na Manunuzi ambapo iwapo Manunuzi yatazidi ila iwapo mauzo ndio yatazidi basi Ile Tofauti ya VAt atapaswa kulipa TRA.
Kwa wale ambao wanatuza kumbukumbu za Hesabu wao huwa wanao wajibu wa kuandaa HESABU za MWAKA kwa kupita Wahasibu na Wakaguzi pamoja na Wataalamu wa KODI ambao wamesajiliwa na TRA na NBAA ili waweze kupigiwa HESABU ya KODI Kikamilifu.
Baada ya kuchangia Mada hii kwa ujumla wake sasa nitoe Maoni ya Ujumla kuhusu Mfumo wetu wa KIKODI na namna ambavyo unaweza kurekebishwa:
All in all niwapongeze TRA kwa MFumo wao mpya ingawa bado una changamoto na unahitaji maboresho.Wajitahidi sana kuufanya huu mfumo uwe Intelligent System Yaani uwe na uwezo wa kujifunza kulingana na Data za walipa kodi wengine,location za walipa kodi wengine na taarifa nyingine za mlipa kodi.Teknoljia zipo na ninaamini kabisa kwamba wanaweza wakiwa na nia ya dhati.Yako Mengi sana ambayo ninayaona ila kwa leo tuanze na hayo na wengine nao wajdili
- Swala la kwanza ni Viwango vyetu vya kodi,Kiwango cha Kodi ya Mapato kwa Tanzania ni 30% hiki ni kiwango kikubwa sana kwa aina ya uchumi tulio nao.Nasema nikiwango kikubwa kwa sababu kiwango hiki hakihamasishi ukuaji wa Biashara na kinaathiri sana gharam za uendeshaji hasa ukizingatia kwamba kuna gharama nyingi ambazo ni za kikodi ambazo kwa sasa zinaitwa TOZO ambazo zimeingizwa katika mfumo wetu wa Biashara.Ukitazama kwa ukaribu utaona kwamba Serikali ambayo haitoi vihamasishi vyovyote kwa wafanyabiashara inawatoza wafanyabiashara kodi ya 30% kisha kuna kuwa na gharama nyingine nyingi ambazo mfanyabiashara analipa kwa serikali hiyo hiyo.Ukija ukitazama unakuta Majukumu ya Compliance tu yanamgharimu mfanyabiashara zaidi ya 5% au zaidi ya mapato yake.Kitu serikali inaweza fanya ni Kupunguza Kiwango Cha Kodi ya Mapato kutoka 30% mpaka 15 au 20% na kisha kufanya VAT iwe Single DIGIT.Baada ya Hapo Biashara zote zilazimike kuwa na EFD regardless of SIZE na LOCATION na ihamasishe Digital Payment kwa kuondokana na TOZO za moja kwa moja katika Miamala ya Malipo kwa njia mtandao na zibaki standard charges.
- Swala la Pili ni Mifumo;Serikali iondokana kabisa na Suala la Mfanyakazi wa TRA kumfanyia Mjasiriamali Makadirio ya KODI.Kama kuna viwango elekezi viwekwe kwenye Mfumo na Kila Mtu awe na uwezo wa kutazama masuala yake ya kikodi na kuyasimamia Peke yake.TRA wafanye Monitoring ya Mifumo na iwapo kuna dalili z ukwepaji basi hapo ndipo waingilie kati.Unaporuhusu watu kukutana na kuanza kuneogotiate ndipo mazingira ya Rushwa yanapokuwepo.
Kwani Afisa wa TRA anapokukuta na KOSA ni kama TRAFIKI Barabarani?Afisa wa Kodi sio kama TRAFIKI Barabarani kwamba mnamalizana.Afisa wa TRA anapokuja katika Ofisi yako lazima azingatie Utaratibu wa Kisheria.Kama ni ukaguzi lazima uzingatie Sheria,Kama wewe ni mtuhumiwa wa Ukwepaji wa kodi lazima kuwe na Utaratibu wa Kisheria wa Kusimamia Sheria za Kodi.Mfanya Biashara ambaye anaona ni sawa Kumpa Afisa wa TRA rushwa ili asilipe au alipe Kodi ndogo basi hana elimu ya KODI na Hatakuwa ameokoa kitu chochote kileMleta mada assume wewe ni mfanyabiashara umekutwa na kosa penalty yake ni 4.5 mill mimi afisa tra nikakwambia bwana kukusaidia nipe 500K kesi iishe au niishushe mpaka 1.5mill utakuwa tayari kuniripot nakula rushwa?
Nimejibu kama Mlipa kodi bwasheeMkoo umetoa JIBU zuri ila sio kama Jibu la Mlipa kodi bali ni la Mla Kodi.
Sawa Ndugu Mlipa Kodi.Hvi Wabunge mnalipaga Kodi kweli?Nimejibu kama Mlipa kodi bwashee
Wengi hawajui Kwamba kutoza kodi ni Art yaani Sanaa fulani lakini kulipa Kodi ni Sayansi kwa Sababu unaifeel kibiology katika mfumo wako wa hisia
Walipakodi huwa tunahitaji management fulani Hivi kimwili na Kiroho ππ
TRA Tanzania Hili liko Ndani ya Uwezo wa TRA kwa sasa.Haya wafanyabiashara pia hukutana penalties sababu ya mifumo yetu ya ulipaji Kwa mfano mtu keshafika TRA awamu ya january hadi march kwenye makadirio alilipa umemkadiria Kwa kiwango atalipa kila miezi miwili au mitatu atalipa kias fulani basi ile control namba Kwa mwaka husika atumie hiyo hiyo kama itawezekana ili kuepuka safari za mara Kwa mara, au mfano kila ukifika muda wa kulipa atumiwe meseji ya control namba yeye popote alipo hata Kwa simu yake alipe ili kuepuka foleni kila wakati na sijui hua wanadhani mtu akifungua biashara lindi basi anaishi lindi tu hadi anakufa, kama wanaweza kutuma meseji za kuwatakia heri ya eid na pasaka na mwaka mpya Kwa nini control namba wasitume Kwa meseji?
Umeeleza vizuri sana, lakin ata wewe bado hujafahamu aina za kodi ya mapato na rate zake. You should understand that administration ya kodi sio rahisi kabisa kidunia. Hakuna nchi isiyokuwa na migogoro ya kodi duniani tunatofautiana tu ktk Mamlaka za kikodi na usimamizi wake. Mfanyabiashara or Income earner anafanya kila hila kuficha mapato yake na Mamlaka au serikali inafanya kila hila kufichua mapato yake katika namna za kisheria mifumo ya kodi. 30% rate hiyo ni income tax rate inayotozwa kwa makampuni kwenye faida na mfanyabiashara binafsi anatozwa 3.5% tu kwa mapato yake ya mwaka mzima. Bado huyo hyo mfanyabiashara anayo room ya kujikadiria kodi yake na kuwasilisha TRA(Provisional assessment) na akawasilisha final return. TRA wapo wazi sana tatizo ni compliance ya kodi tu Tanzania ni ndogo. Siasa nayo ina athari kubwa sana kwenye eneo la kodiMkuu kuna Point fulani Unayo ila sasa Jinsi ulivoiweka Hata TRA hawataelewa.