Urasimishaji ujuzi VETA

Doctizo Mtengwa

JF-Expert Member
Feb 16, 2019
818
1,484
Tarehe 17 .8.2020 majina ya waliojaza fomu ya kurasimisha ujuzi yametoka, Utapata ujumbe mfupi wenye jina VETA "hongera kwa kuchaguliwa katika urasimishaji ujuzi.

Ujumbe utawafikia waliochaguliwa tu, Cha kufanya kwa waliochaguliwa fika, chuo cha veta au Halmshauri iliyo karibu na wewe Tarehe 20.8.2020 kumbuka gharama zote hugharamiwa na serikali kwa Maelezo zaidi tembelea /veta.tz.go /kazi.tz.
 
Kuna ishu gani ukooo

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app


Serikali imekuwa nampango wakurasimisha ujuzi, kuwapatia wenye ujuzi vyeti kutoka Veta kulingana na ujizi walionao ,mfano wewe ni fundi umeme usiye navyeti na unauzoefu usio pungua miaka mitano miaka yako haizidi 45 , mpaka hapo utakuwa na vigezo vya kupata cheti Cha kuonesha umefuzu katika fani yako ,serikali itakupa vyeti kulingana na Maelezo yako katika fomu utakayo jaza kutoka veta ,gharama zote itagharamikiwa na serikali kupitia vijana ,ajira na wenye ulemavu.
 
Back
Top Bottom