Uraisi si kazi ya u-MC wala Ulinzi wa night club

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,401
1,604
Na MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Kuna watu wazima na akili zao na jamii inawaheshimu eti wanalalamika mbona Lowassa hakuongea sana, mmeambiwa Lowassa anagombea nafasi ya u-MC wa harusi?

Eti afya yake inatia shaka, angekuwa anataka kuwa security wa night club ni sawa lakini kwa nafasi ya uraisi Lowassa anatosha sana.

Nchi yetu imefika hapa kwasababu ya hao watu wanaoongea sana.

Raisi ni mtu ambaye anatakiwa kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri, mtu mwenye vision, mtu wa kupanga timu nzuri na aweze kuisimamia, mtu mwenye kuweza kufanya maamuzi. Hivyo vigezo kwamba raisi awe muongeaji labda raisi wa CCM.

Kwa nchi yetu hapa ilipofika inahitaji mtendaji na sio muongeaji. Mtu muongeaji wa nini.? kwani Ikulu anaenda kupiga story? Kama kuongea ni sifa ya uraisi basi hata Mpoki angekuwa raisi
 
Last edited by a moderator:
Nchi yetu hatitaji waongeaji wanaojaza watu ujinga eti ari mpya, nguvu zaidi na kasi ya ajabu, tunataka mtu anayechukia umaskini, hapa hakuna mashindano ya kuimba taarabu kama Nape anavyofanyaga.
 
Nchi haiitaji Rais bubu asieweze kuainisha sera zake atalifanyia nini Taifa.
 
1.kama kigezo ni kufikiri = hapan tayari amawzo ya kizee tunahitji mwenye makomo yeye abaki kuwa mshauri
2.vision= hana vision yoyote maana kwenye ufunguzi hakuweka sera na ilani yake.
3.kupanga timu nzuri= hana timu nzuri inyomzunguka wote ni walaghai na mafisadi akiwemo nayeye
4. Maamzi na kusimamia= hana maamzi zaidi ya kuamuliwa na mbowe kama alivyosema jangwani mbowe kaamua ilani kuweka mtandaoni, NB yeye sio msemaji mkuu.
 
Tumewachoka matapel/waongeaji CCM bora huyu bubu wa hotuba chache atufaa maana wakina locks Ni wapiga deal tumeshashtuka CCM ni kimeo
 
1.kama kigezo ni kufikiri = hapan tayari amawzo ya kizee tunahitji mwenye makomo yeye abaki kuwa mshauri
2.vision= hana vision yoyote maana kwenye ufunguzi hakuweka sera na ilani yake.
3.kupanga timu nzuri= hana timu nzuri inyomzunguka wote ni walaghai na mafisadi akiwemo nayeye
4. Maamzi na kusimamia= hana maamzi zaidi ya kuamuliwa na mbowe kama alivyosema jangwani mbowe kaamua ilani kuweka mtandaoni, NB yeye sio msemaji mkuu.
hao wanaopanga team nzuri wametufanyia nini? Ni kujenga barabara mbovu tuendelee kufa vizuri kwa huduma duni za afya?? Kila mtanzania hata wadogo zangu wanajua CCm Ni walaghai, wauaji, watekaji, wezi na wanaofuga mafisadi wamekuwa wakitudamganya kwa hadaa nyingi! Kupindisha sheria za wanyonge na kutunyanyasa ktk nchi yetu. Bora tumchague na lowasa tena, Ni bora kumchagua tunaeaminishwa Ni fisadi mlioshindwa kumshtaki kuliko jambazi lililojifika ngozi ya kondoo linalonadiwa na safu ya mafisadi papa waliokubuhu
 
Na MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Kuna watu wazima na akili zao na jamii inawaheshimu eti wanalalamika mbona Lowassa hakuongea sana, mmeambiwa Lowassa anagombea nafasi ya u-MC wa harusi?

Eti afya yake inatia shaka, angekuwa anataka kuwa security wa night club ni sawa lakini kwa nafasi ya uraisi Lowassa anatosha sana.

Nchi yetu imefika hapa kwasababu ya hao watu wanaoongea sana.

Raisi ni mtu ambaye anatakiwa kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri, mtu mwenye vision, mtu wa kupanga timu nzuri na aweze kuisimamia, mtu mwenye kuweza kufanya maamuzi. Hivyo vigezo kwamba raisi awe muongeaji labda raisi wa CCM.

Kwa nchi yetu hapa ilipofika inahitaji mtendaji na sio muongeaji. Mtu muongeaji wa nini.? kwani Ikulu anaenda kupiga story? Kama kuongea ni sifa ya uraisi basi hata Mpoki angekuwa raisi

sikutegemea kukuta mavi kama haya
 
kumbe unajua anapaswa kua na uwezo mzuri wa kufikiria sasa wew unamuona anao " the is typical bipolar disfunction
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom