Zanzibar walipataje katiba mpya?Sasa unataka tunwage damu?
Sisi siyo Interahamwe ati!
Hatukumwaga damu kwenye Kudai uhuru, hatuhitaji kumwaga damu kwenye katiba mpya.Zanzibar walipataje katiba mpya?
Kenya walipataje katiba mpya.
Sisi tuna damu ya kikongo na kila mtu mwinyi.
Tunatamani vitu vizuri vije tukiwa tumekaa tunakunywa WINE.
Sisi ndio sisi.
Hoja murua kabisa?Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote (hili ni tatizo)
Tena yatunze kweli kweliYANGU MACHO..
Mbinu zikizotumika wakati wa kudai uhuru unaona ndio zinazotumika kwasasa ?Hatukumwaga damu kwenye Kudai uhuru, hatuhitaji kumwaga damu kwenye katiba mpya.
Nchi zote ulizozitaja zina historia ya damu damu tangu enzi za kudai uhuru.
Zipo njia painful zaidi za kuwalazimisha watawala watupe haki zetu, ikibidi zitatumika hizo
Sawa lete ushauri.Mbinu zikizotumika wakati wa kudai uhuru unaona ndio zinazotumika kwasasa ?
Mimi sijasema damu inatakiwa kumwagika. Ingawa katiba nyingi nzuri hutungwa kwa shinikizo la wananchi wenyewe hasa baada ya machafuko.Sawa lete ushauri.
Tumwage damu ya nani kwanza ili tupate katiba mpya?
Ndiyo maana katiba inadaiwa na wananchi wote na si vyama vya siasa pekee. Vyama vya siasa ni platform tuMimi sijasema damu inatakiwa kumwagika. Ingawa katiba nyingi nzuri hutungwa kwa shinikizo la wananchi wenyewe hasa baada ya machafuko.
Katiba nzuri ya wananchi haiwezi kutungwa na mwanasiasa.
Wakati tunapigania uhuru makundi yote ya kijamii yaliungana na wapigania uhuru.
Haya, nambie leo walioko mbele kudai katiba mpya wanaungwa mkono na kundi gani la kijamii ???
Wananchi wote wako wapi wanaodai katiba mpya. Ingekuwa hivyo tayari katiba ingekuwa imeshapatikana.Ndiyo maana katiba inadaiwa na wananchi wote na si vyama vya siasa pejee. Vyama vya siasa ni platform tu
Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote (hili ni tatizo)
Yes, kama ameshakauka akikunjwa atakatika.Kwa hiyo uki mkunja "atavunjika"
Mada zenu zinachosha sasaVipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote (hili ni tatizo)
Tatizo ninaloliona ni kuwa hii dhana ya ya tatu ya kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote ndiyo mwanzo wa yeye kuanza
Lakini kwa Magufuli mbona ulikuwa kimya sana,na hukuweza mkukunja mapema?Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa gharama yoyote (hili ni tatizo)
Jamaa watakwambia chadema haihusiki, ni agenda ya wananchi. Halafu mifano ya wanaotaka katiba mpya ni wale wote ambao wameshafaidika na katiba hiihii mbovu.Kama unadhani ni rahisi kuleta katiba mpya hebu waambie CHADEMA warudishe kipengele cha ukomo wa madaraka na kile cha kumwajibisha mwenyekiti.
Na kama unadhani ni rahisi kuvumilia ukosoaji, mkosoe Mbowe.
Mwanasiasa anayependa kukosolewa nchi hii ni wachache sana, kina JK huko upinzani afadhali Zitto.
Usisingizie wananchi ndio wanahitaji sana katiba mpya wakati agenda zingine mnazotaka kuziweka ni za maslahi ya kisiasa.
Mwishowe, kama mnahitaji mafanikio shirikisheni watu.
Tatizo ninaloliona, kuna watu ambao ni kama wamepoteza mwelekeo ndio wanajifanya wanaharakati. Ndio maana agenda zao kila siku zinabadilika.
Wakati kina Nyerere wanapambania uhuru walihakikisha makundi yote yanawaunga mkono
- Wasanii
- Wanaharakati
- Jumuiya za kimataifa
- Wasomi
- Viongozi wa dini
- Watawala wa kimila
- Vyama vya wafanyakazi
Na haya makundi mpaka leo, CCM bado imeyakumbatia.
Kwa upande wa pili, leo wanaojifanya ni wapinzani na wanaharakati wamekuwa wabinafsi kupindukia, kazi yao imekuwa ni kutukana huyu msaliti, yule msaliti. Wao ndio wanajiona wema sana na watakatifu sana.
Na kwamba wao ndio mabingwa wa kupigania haki, wengine wote hawafai🤣
Anyway, sisi wengine yetu macho. Maana hakuna mwanasiasa masikini.
Wengi ni matajiri na wamechuma utajiri wao chini ya utawala huu huu mbovu wa CCM. Sasa hivi wanafurahia maisha huku wakitudanganya sisi ili maisha yetu yawe mazuri tunahitaji katiba mpya au kuwapa wao madaraka.
Akili kichwani.
katiba ya zamani ina nini unachokosa mpaka sasa?Hauna mtu aliyemzuia kuchapa kazi, tunataka tu katiba mpya iliyobora
Mkuu umepiga nyoka kuna kichwaKama unadhani ni rahisi kuleta katiba mpya hebu waambie CHADEMA warudishe kipengele cha ukomo wa madaraka na kile cha kumwajibisha mwenyekiti...