na nilivyosikia toka vyombo vya habari ni kuwa tayari mahakama imeshamruhusu nkurunzinza kuwa rais kwa awamu ya tatu
Ni kweli mahakama imemruhusu lakini haikuwa rahisi sana maana Jaji wa Mahakama kuu ya kikatiba Nchini Burundi alikimbia nchi na kujificha Tanzania akiwa na familia yake. Inasemekana alifuatwa na watu wa Nkurunziza wakitaka asaini ili jamaa agombee muhula wa tatu maana hiyo mahakama ndio ilikuwa na maamuzi ya mwisho.
Kesho yake ambapo jaji huyo ilibidi aende kusaini ofisini kwake,alibeba familia yake na kukimbia maana hakuwa tayari kuwabetray wanaburundi. Sasa hivi anatafuta ukimbizi wa kisiasa kati ya Ufaransa na Belgium.

nimesoma gazeti moja kichwa cha habari kwamba jk katuma mawaziri wanne huko burundi. sijajua hasa wameenda kufanya nini ingawa yanayotokea burundi yananukia na kwetu. haya madaraka wapewe watu wenye hekima zao

you know the president office is office no 1 kwa hiyo suppose mtu alipata uraisi akiwa na age of 40 it means he/she is going to retire at age of 50 kwa hiyo at that age is still very young kwakua president office is office no 1 hawezi kwenda office nyingine yeyote and at that age he/she can,t stay iddle mat0keo yake ana anza kubadili katiba.Hii ina mantiki sana. hapa kwetu katiba inasema ni miaka 40. laiti kama katiba ingesema ni miaka 60 basi hali isingekuwa shwari.Lakini kuna mambo huenda bila kusemwa.Hili liwe mojawapo.Rais wa nchi achaguliwe alifikisha miaka 60 ili akimaliza muhula wake apumzike maana atakuwa na miaka 70 kama atajaliwa afya na mihula miwili.
Hivi mtu anachagiliwa kuwa rais akiwa na miaka 40.Baada ya miaka kumi anamaliza mihula yake na ana miaka 50.Sote tunaujua ulevi na ukuu wa Urais. Hivi huyu kijana wa miaka 50 ambaye kamaliza mihula yake miwili na anakabidhi kijiti kwa mwingine kweli ana amani?
Baada ya kuwa Rais na una miaka 50 utakuwa unafanya nini?Hivi alishawahi ulimwenguni humu mtu kuwa Rais na baadae akawa aidha waziri na akaishi kama waziri?Msiniambie kuhusu Putin.Huyu ambaye damu inachemka atakuwa kero.
Mtazameni Nkurunzinza wa Burundi.Mtazameni kabila wa Congo.Msiniambie kuhusu Mugabe maana anajua the Hague inamhitaji akiachia Urais.Mugabe atafia madarakani.
Hebu mtazameni Kagame,same kwa Museveni alikuwa Rais akiwa na umri mdogona leo ana zaidi ya miaka 20 madarakani.Hawa vijana kina Kabila na Nkurunzinza wanawatazama hawa watu kama role models wao.Wanaamini dola itawahakikishia hitaji lao kama inavyoelekea kwa Nkurunzinza.
Hapa kwetu nasikia kuna vijana wanautaka urais, nasema hizi kamati kuu za vyama iwe CCM au UKAWA wasikubaliane na haka kawimbi kanachotaka kupandikizwa vichwani mwa watanzania.Afrika si ulaya,kwetu haya mambo makubwa kama utawala wa nchi tuwaachie wazee.
Nawaambia hivi, hakuna kitu kama hicho kwa kijana wa miaka 40 kushika dola. Tafuteni umri kwanza, kipindi hiki cha ujana bado ni cha kujifunza, hasa igusiwapo taasisi ya Urais.
Nimekusoma hapo kwenye EAC. Tatizo la uroho pamoja na umri mdogo, sheria na taratibu zetu hazikidhi viwango. Waafrika hatuheshimiani. Kama anachofanya Nkurunzinza ni kutowaheshimu warundi wenzake hadi viongozi wa kisheriaUnajua Rais Kikwete ni Mwenyekiti wa EAC, nadhani ujumbe huo huo aliotuma ni katika namna ya kuweka mambo sawa nchini Burundi.Ila naamini Nkurunziza atagomea tena awamu ya Tatu hata kama mamia wakifa. Sijui kwanini uroho wa madaraka unapeleka viongozi wetu pupa.
Hata Sierra Leone ilikuwa kama TZ yetu na hakuna aliyeamini pale machafuko yalipoanza. Ila kwetu itakuwa hatua ya mwisho sana kwani wananchi licha ya kuwa waoga na wastaarabu, wengi wanamiliki shughuli zao binafsi bila kutegemea sana serikali. Kwa wenzetu kumiliki nyumba ni anasa sana na pengine ni jambo lisilowezekana, so watanzania wanasema ya nini?Hayawezi kutokea Tanzania kamwe,Japokuwa hatuna amani nchini mwetu lakini watanzania tu-waoga na wastarabu.
Hii ina mantiki sana. hapa kwetu katiba inasema ni miaka 40. laiti kama katiba ingesema ni miaka 60 basi hali isingekuwa shwari.Lakini kuna mambo huenda bila kusemwa.Hili liwe mojawapo.Rais wa nchi achaguliwe alifikisha miaka 60 ili akimaliza muhula wake apumzike maana atakuwa na miaka 70 kama atajaliwa afya na mihula miwili.