Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,147
Hiwe kama enzi za Mwinyi miaka 10 kwa mpigo uchaguzi ndio ufanyike
Ukweli hakuna wa kumtoa JPM 2020.Haiitaji hata elimu ya darasa la pili kujua hiloYaani umeona Ngosha anang'oka 2020 unataka kumuongezea mingine miwili?
Hata huo mmoja aliobakisha ni mwingi sana, kama kweli anaipenda nchi ajiuzulu tu
Hahahahah nacheka na kuwaza watumishi,wameambiwa wasubiri hadi mwaka wake wa mwisho,sasa ingekuwa miaka saba sijui ingekuajeWanaJF,
Uwepo Wa muhula wa pili wa kugombea Urais una madhara makubwa kuliko tunachokitafuta.
Katika Hali ya kawaida kufanya uchaguzi Kila baada ya miaka mitano huku uwezekano wa Rais aliyepo madarakani kuendelea ni 100% ni kupoteza muda na rasilimali pesa
Napendekeza tuwe na muhula mmoja Wa urais, lakin Rais akae miaka saba madarakani baada ya miaka saba anatafutwa Rais mwingine.
Kwa maana hii , Kwa Sasa Magufuli angetawala mpaka 2022 then tutafute Rais mwingine atakaye kaa Kwa miaka saba tu.
Wabunge waruhusiwe kuchaguliwa Kila baada ya miaka saba Kwa ukomo Wa term mbili tu,tusiwe na wabunge Wa kukaa miaka 20 jimboni.
Ukomo Wa urais kwa term Moja ya miaka saba ni Bora kuliko miaka 10 ya uraisi.
WanaJF,

Mawazo yako mazuri lakini hii mitano ya kwanza inawafanya wapige kazi ili tuwachague tena mitano ujayo.WanaJF,
Uwepo Wa muhula wa pili wa kugombea Urais una madhara makubwa kuliko tunachokitafuta.
Katika Hali ya kawaida kufanya uchaguzi Kila baada ya miaka mitano huku uwezekano wa Rais aliyepo madarakani kuendelea ni 100% ni kupoteza muda na rasilimali pesa
Napendekeza tuwe na muhula mmoja Wa urais, lakin Rais akae miaka saba madarakani baada ya miaka saba anatafutwa Rais mwingine.
Kwa maana hii , Kwa Sasa Magufuli angetawala mpaka 2022 then tutafute Rais mwingine atakaye kaa Kwa miaka saba tu.
Wabunge waruhusiwe kuchaguliwa Kila baada ya miaka saba Kwa ukomo Wa term mbili tu,tusiwe na wabunge Wa kukaa miaka 20 jimboni.
Ukomo Wa urais kwa term Moja ya miaka saba ni Bora kuliko miaka 10 ya uraisi.
Na kweli aisee.Kwanza jinsi viongozi wetu wanavyopiga kazi miaka 7 haitoshi kabisa labda useme miaka 17 hapo sawa
WanaJF,
Uwepo Wa muhula wa pili wa kugombea Urais una madhara makubwa kuliko tunachokitafuta.
Katika Hali ya kawaida kufanya uchaguzi Kila baada ya miaka mitano huku uwezekano wa Rais aliyepo madarakani kuendelea ni 100% ni kupoteza muda na rasilimali pesa
Napendekeza tuwe na muhula mmoja Wa urais, lakin Rais akae miaka saba madarakani baada ya miaka saba anatafutwa Rais mwingine.
Kwa maana hii , Kwa Sasa Magufuli angetawala mpaka 2022 then tutafute Rais mwingine atakaye kaa Kwa miaka saba tu.
Wabunge waruhusiwe kuchaguliwa Kila baada ya miaka saba Kwa ukomo Wa term mbili tu,tusiwe na wabunge Wa kukaa miaka 20 jimboni.
Ukomo Wa urais kwa term Moja ya miaka saba ni Bora kuliko miaka 10 ya uraisi.
Kuna spa escrow nk atulie tuliTatizo maamuzi hayatolewi na WanaJF, Kuhusu gharama za uchaguzi usiwe na
Wasiwasi kila unapokaribia muda huwa tunaplan kuwakamua wanyonge, mambo
yanasonga.... Tulianza na bodaboda - tukalazimisha Usajili wa Plate namba mpya
na sasa tumehamia kwenye vitambulisho vya WASIRIAMWILI.. NO WAJASIRIAMALI