Hatujampinga kasema ukweli ukitaka kuwadhi CDM gombea ngazi ya juu mfano Wangwe Zito Shibuda km ni demokrasia mnakasirika nini sio mara ya kwanza Shibuda kuomba nafasi ya urais hata alikokuwa alifanya hivyo na demokrasia ilimruhusuNimefurahi watu walivyokupuuza tangu asubuhi ni watu 10 tu wamechangia huu uchafu wako na wote wamekupinga.
Hatujampinga kasema ukweli ukitaka kuwadhi CDM gombea ngazi ya juu mfano Wangwe Zito Shibuda km ni demokrasia mnakasirika nini sio mara ya kwanza Shibuda kuomba nafasi ya urais hata alikokuwa alifanya hivyo na demokrasia ilimruhusu
Lkini shibuda kasema atamuomba slaa awe meneja wake wa kampeni za urais,kuna dhambi gani?kwanini msimuache atumie haki yake then mkutane nae kwenye vikao vya kuchuja wagombea?Heche na genge lake walikua na haraka gani nae kama sio uoga tu?
wasaidizi wa ghadafi hata walipoona utawala unazama waliendelea kujitia moyo mpaka walipoanguka puuuu. si ccm endeleeni kujitia moyo.mimi ni msukuma nipo magu cdm ipo juuu sana wala hakun uchaga hapo
Lkini shibuda kasema atamuomba slaa awe meneja wake wa kampeni za urais,kuna dhambi gani?kwanini msimuache atumie haki yake then mkutane nae kwenye vikao vya kuchuja wagombea?Heche na genge lake walikua na haraka gani nae kama sio uoga tu?
Hivi kuna shida gani mtu kutangaza kwamba anataka kugombea Urais. Kuna watu ambition yao ni Urais hivyo wakati wote wanaota kuwa Marais. Zile habari za kwamba muda wa kutangaza bado zimepitwa na wakati. CDM na hata CCM ziwaache watu wenye nia watangaze nia zao ili tupate muda mrefu wa kuwapima na kuwajadili kwa mapana na marefu. Masuala ya kuutaka Urais kwa staili ya nataka sitaki ni uzandiki. At least kwa sasa najua kuna watu wawili CDM wametamka kwamba watagombea kwa kufuata utaratibu wa chama wengine wanaotaka nao watamke na siyo kujiundia makundi kimyakimya. Hayo makundi siku yakilipuka utakuwa ndio mwisho wa chama.