Urais CCM Joto kweli kweli

Urais CCM Joto kweli kweli

Ninaona wote mmesahau ile kauli ya mkuu kuwa mwenye sifa za kuwa mgombea wa urais kwa tikiti ya CCM bado hajajitokeza na huyo si mwingine bali ni MTEMI ANDREW CHENGE
 
KINYANG'ANYIRO CHA URAIS NDANI YA CCM.
Joto la Urais ndani ya CCM linazidi kupanda huku vigezo vikubwa vikiwa maadili, uwezo wa kuongoza nchi na uwezo wa kukiongoza chama hicho tawala katika nafasi nzito ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho kikongwe. Hadi sasa wanaotajwa wamewekwa katika makundi mbalimbali kulingana na uwezo na sifa zao.

A:Wenye sifa za kuongoza dola kwa nafasi ya Rais wa JMT
1. Edward N. Lowassa
2. Dr.Hussein Mwinyi
3. Dr. Ali Shein
4. Samuel Sitta
5. Bernard Membe

B:Wenye sifa za kuongoza chama nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa.
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
3. William Lukuvi
4. Prof Mwandosya
5. Stephen Wassira
6. Frederick Sumaye

C:Wenye sifa za kushika nafasi ya uwaziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
1. Dr. John Magufuli
2. Eng. Mfutakamba
3. Adam Malima
4. Mwigulu Nchemba
5. William Lukuvi
6. Harrison Mwakyembe

D:Wenye doa la maadili na ukiukaji kanuni
1. Mizengo P. Pinda
2. Bernard Membe
3. Steven Wassira
4. January Makamba
5. William Ngeleja
6. Frederick Sumaye

E:WENYE SIFA ZA JUMLA KUWA RAIS, MWENYEKITI WA CCM
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
NOTE:
Nafasi ya Urais inatajwa kuhitaji mtu makini na mwenye uzoefu usio na shaka katika kuongoza kwa busara. Aidha, nafasi ya uenyekiti inatajwa kuhitaji mtu mwenye kaliba ya uvumilivu, msikivu, mwanasiasa, mzoefu katika kuongoza vikao,kujenga hoja, asiye na jazba katika kuamua na anayeshaurika.

Tuna vijana hodari na wenye upeo mkubwa sana kama Mkapa, Kikwete na Lowassa.- JK Nyerere
(Majira 26/5/1995 ukurasa wa 3; na Nipashe 26/5/1995 ukurasa wa 3).
 
Attachments

  • EL.png
    EL.png
    62.6 KB · Views: 219
KINYANG'ANYIRO CHA URAIS NDANI YA CCM.
Joto la Urais ndani ya CCM linazidi kupanda huku vigezo vikubwa vikiwa maadili, uwezo wa kuongoza nchi na uwezo wa kukiongoza chama hicho tawala katika nafasi nzito ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho kikongwe. Hadi sasa wanaotajwa wamewekwa katika makundi mbalimbali kulingana na uwezo na sifa zao.

A:Wenye sifa za kuongoza dola kwa nafasi ya Rais wa JMT
1. Edward N. Lowassa
2. Dr.Hussein Mwinyi
3. Dr. Ali Shein
4. Samuel Sitta
5. Bernard Membe

B:Wenye sifa za kuongoza chama nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa.
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
3. William Lukuvi
4. Prof Mwandosya
5. Stephen Wassira
6. Frederick Sumaye

C:Wenye sifa za kushika nafasi ya uwaziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
1. Dr. John Magufuli
2. Eng. Mfutakamba
3. Adam Malima
4. Mwigulu Nchemba
5. William Lukuvi
6. Harrison Mwakyembe

D:Wenye doa la maadili na ukiukaji kanuni
1. Mizengo P. Pinda
2. Bernard Membe
3. Steven Wassira
4. January Makamba
5. William Ngeleja
6. Frederick Sumaye

E:WENYE SIFA ZA JUMLA KUWA RAIS, MWENYEKITI WA CCM
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
NOTE:
Nafasi ya Urais inatajwa kuhitaji mtu makini na mwenye uzoefu usio na shaka katika kuongoza kwa busara. Aidha, nafasi ya uenyekiti inatajwa kuhitaji mtu mwenye kaliba ya uvumilivu, msikivu, mwanasiasa, mzoefu katika kuongoza vikao,kujenga hoja, asiye na jazba katika kuamua na anayeshaurika.

Nakusubiri sana rais wangu na rais wa watanzania wenye ufahamu mheshimiwa "MAKONGORO KAMBARAGE NYERERE"
Nalog off
 
urais Lowassa ndiyo waziri mkuu Magufuli ndiyo ila hapa duu mpaka Malima hacheni masiara
 
Mission ........ben.........cnn...........price?
I feel gud so gud........
 
Lowassa ndio Chaguo letu CCM hata kama Wakipiga Mayowe.."Hakatwi Mtu Hapo" Mkutano wa CCM Arusha.

Lowassa Changuo la Wengi na Changuo la Wanyonge. Safari Hii tumpe aliyeshiba" Mwenye nacho tayari" maana Kazi yake itakuwa Moja tu, nayo ni Kuwasaidia wenye Njaa" Wanyonge".

Wakenya Waliliona hilo Wakampa tajiri "Kenyatta" na Sisi Watanzania Tusijitoe Ufahamu "Lowassa" Ndio Jibu Sahihi kwa sasa.

Hii system ya Kumpa Nchi mwenye Nacho, ni ya Nchi Zilizoendelea na Manufaa yake ni Makubwa...; Sasa tukijidanganya tumpe yule Kijana ambaye hata sikumoja Hajawahi kuwa na Ndoto ya Kitambi si ndo tutakuwa Tumekwisha.

Unamatatizo sana wewe. Lowasa????
?
 
KINYANG'ANYIRO CHA URAIS NDANI YA CCM.
Joto la Urais ndani ya CCM linazidi kupanda huku vigezo vikubwa vikiwa maadili, uwezo wa kuongoza nchi na uwezo wa kukiongoza chama hicho tawala katika nafasi nzito ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho kikongwe. Hadi sasa wanaotajwa wamewekwa katika makundi mbalimbali kulingana na uwezo na sifa zao.

A:Wenye sifa za kuongoza dola kwa nafasi ya Rais wa JMT
1. Edward N. Lowassa
2. Dr.Hussein Mwinyi
3. Dr. Ali Shein
4. Samuel Sitta
5. Bernard Membe

B:Wenye sifa za kuongoza chama nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa.
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
3. William Lukuvi
4. Prof Mwandosya
5. Stephen Wassira
6. Frederick Sumaye

C:Wenye sifa za kushika nafasi ya uwaziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
1. Dr. John Magufuli
2. Eng. Mfutakamba
3. Adam Malima
4. Mwigulu Nchemba
5. William Lukuvi
6. Harrison Mwakyembe

D:Wenye doa la maadili na ukiukaji kanuni
1. Mizengo P. Pinda
2. Bernard Membe
3. Steven Wassira
4. January Makamba
5. William Ngeleja
6. Frederick Sumaye

E:WENYE SIFA ZA JUMLA KUWA RAIS, MWENYEKITI WA CCM
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
NOTE:
Nafasi ya Urais inatajwa kuhitaji mtu makini na mwenye uzoefu usio na shaka katika kuongoza kwa busara. Aidha, nafasi ya uenyekiti inatajwa kuhitaji mtu mwenye kaliba ya uvumilivu, msikivu, mwanasiasa, mzoefu katika kuongoza vikao,kujenga hoja, asiye na jazba katika kuamua na anayeshaurika.

Kampeni za kitoto sana hizi. Kwamba Lowasa unaweza ukamuuza kirahisi namna iyo?

Halaf ulikomchomeka Mbabe wake sasa!(Pinda). Duh!

Kweli Pinda anawanyima usingizi sana. Ok! Ngoja tuone.
 
Hao wote wanafaa kuwa kwenye nafasi ya mwenyekiti wa taifa wa ccm na sio rais wa jmt kamwe! Yote majizi, yatalinda wezi walewale kwa staili ileile ya jk!
 
Back
Top Bottom