Lowassa,Lowassa hadi kero
Kila kukichaLowassa, Lowassa, oooo mtu mawazo yake binafsi tu anakujana kusema ametumwa na wanainchi katikaeneo lake mfano mkoa au kanda amshauri lowassa agombee Urais.
Lowassa jamani hafai, mtu anayejitajirishakwa kutumia wadhifa wake katika utumishi wa umma hafai kuwa kiongozi kwa sababusiyo mfano wa kuigwa, yaani kuiba mali za umma siyo sifa ambayo inafaa mtumwingine aige.
Lowassa kuwa kiongozi wa ofisi ya juukutavutia wezi wenzie kuinajisi ofisi hiyo, yaani kama ukifuga fisi tegemeafisi wenzie kumtembelea fisi mwenzao hawezi kutembelewa na swala.
Jamani Lowassahafaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Kikwete, Mangula hebu mwambieni huyo mtu kwamba hanasifa za kiti cha urais, anaweza mambo mengine na siyo urais, ni nyie mnamlealeamnamchelewesha mpeni sure za moja kwa moja na wala siyo mafumbo mafumbo
CC.
- Jajaya Mrisho Kikwete
- Jack Zoka
- Philip Mangula
- Abdrahiman Kinana
- Benjamin Mkapa- Uliwakemea maaskofuukasema na majoho yao haiwezekani serikali tatu kwa sababu baba wa taifaalikataza mbona Lowassa humkemei? Mnafiki wee.
- Ali Hassan Mwinyi
- Nape Nnawiye
- Delvis Adolf Mwamunyange
- Ernest Hamis Mangu
- JohnKomba-na unafiki wako, kama Lulu Michael kakukomba mali zote usitegemee uibukiekatika kumpigia dabe fisadi Lowassa, kufa na lywako
- RostamAzizi ikulu siyo pango la walanguzi unatumia mapesa yako ya wizi ili umwekeLowasaa ikulu ili uwe ndio uchochoro wako.
KINYANG'ANYIRO CHA URAIS NDANI YA CCM.
Joto la Urais ndani ya CCM linazidi kupanda huku vigezo vikubwa vikiwa maadili, uwezo wa kuongoza nchi na uwezo wa kukiongoza chama hicho tawala katika nafasi nzito ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho kikongwe. Hadi sasa wanaotajwa wamewekwa katika makundi mbalimbali kulingana na uwezo na sifa zao.
A:Wenye sifa za kuongoza dola kwa nafasi ya Rais wa JMT
1. Edward N. Lowassa
2. Dr.Hussein Mwinyi
3. Dr. Ali Shein
4. Samuel Sitta
5. Bernard Membe
B:Wenye sifa za kuongoza chama nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa.
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
3. William Lukuvi
4. Prof Mwandosya
5. Stephen Wassira
6. Frederick Sumaye
C:Wenye sifa za kushika nafasi ya uwaziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
1. Dr. John Magufuli
2. Eng. Mfutakamba
3. Adam Malima
4. Mwigulu Nchemba
5. William Lukuvi
6. Harrison Mwakyembe
D:Wenye doa la maadili na ukiukaji kanuni
1. Mizengo P. Pinda
2. Bernard Membe
3. Steven Wassira
4. January Makamba
5. William Ngeleja
6. Frederick Sumaye
E:WENYE SIFA ZA JUMLA KUWA RAIS, MWENYEKITI WA CCM
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
NOTE:
Nafasi ya Urais inatajwa kuhitaji mtu makini na mwenye uzoefu usio na shaka katika kuongoza kwa busara. Aidha, nafasi ya uenyekiti inatajwa kuhitaji mtu mwenye kaliba ya uvumilivu, msikivu, mwanasiasa, mzoefu katika kuongoza vikao,kujenga hoja, asiye na jazba katika kuamua na anayeshaurika.
Kwa hali tuliyo nayo watanzania kwa sasa hatuhitaji kiongozi kutoka ccm,tumechoshwa na wizi na ukwapuwaji wa rasilimali za taifa kupitia ccm.
wale wale tena waje watumalize kabisa
B... siku nyingi... Mi chaguo langu adui yako b.... sa sijui itakuwaje..
Hata ukimchukua mtoto wa BRN hatahitaji kutumia akili nyingi kujua mleta mada ni team ELKINYANG'ANYIRO CHA URAIS NDANI YA CCM.
Joto la Urais ndani ya CCM linazidi kupanda huku vigezo vikubwa vikiwa maadili, uwezo wa kuongoza nchi na uwezo wa kukiongoza chama hicho tawala katika nafasi nzito ya mwenyekiti wa taifa wa chama hicho kikongwe. Hadi sasa wanaotajwa wamewekwa katika makundi mbalimbali kulingana na uwezo na sifa zao.
A:Wenye sifa za kuongoza dola kwa nafasi ya Rais wa JMT
1. Edward N. Lowassa
2. Dr.Hussein Mwinyi
3. Dr. Ali Shein
4. Samuel Sitta
5. Bernard Membe
B:Wenye sifa za kuongoza chama nafasi ya Mwenyekiti wa CCM taifa.
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
3. William Lukuvi
4. Prof Mwandosya
5. Stephen Wassira
6. Frederick Sumaye
C:Wenye sifa za kushika nafasi ya uwaziri mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
1. Dr. John Magufuli
2. Eng. Mfutakamba
3. Adam Malima
4. Mwigulu Nchemba
5. William Lukuvi
6. Harrison Mwakyembe
D:Wenye doa la maadili na ukiukaji kanuni
1. Mizengo P. Pinda
2. Bernard Membe
3. Steven Wassira
4. January Makamba
5. William Ngeleja
6. Frederick Sumaye
E:WENYE SIFA ZA JUMLA KUWA RAIS, MWENYEKITI WA CCM
1. Edward N. Lowassa
2. Dr. Mohammed Shein
NOTE:
Nafasi ya Urais inatajwa kuhitaji mtu makini na mwenye uzoefu usio na shaka katika kuongoza kwa busara. Aidha, nafasi ya uenyekiti inatajwa kuhitaji mtu mwenye kaliba ya uvumilivu, msikivu, mwanasiasa, mzoefu katika kuongoza vikao,kujenga hoja, asiye na jazba katika kuamua na anayeshaurika.
lowassa ndio chaguo letu ccm hata kama wakipiga mayowe.."hakatwi mtu hapo" mkutano wa ccm arusha.
Lowassa changuo la wengi na changuo la wanyonge. Safari hii tumpe aliyeshiba" mwenye nacho tayari" maana kazi yake itakuwa moja tu, nayo ni kuwasaidia wenye njaa" wanyonge".
Wakenya waliliona hilo wakampa tajiri "kenyatta" na sisi watanzania tusijitoe ufahamu "lowassa" ndio jibu sahihi kwa sasa.
Hii system ya kumpa nchi mwenye nacho, ni ya nchi zilizoendelea na manufaa yake ni makubwa...; sasa tukijidanganya tumpe yule kijana ambaye hata sikumoja hajawahi kuwa na ndoto ya kitambi si ndo tutakuwa tumekwisha.
Lowassa ndio Chaguo letu CCM hata kama Wakipiga Mayowe.."Hakatwi Mtu Hapo" Mkutano wa CCM Arusha.
Lowassa Changuo la Wengi na Changuo la Wanyonge. Safari Hii tumpe aliyeshiba" Mwenye nacho tayari" maana Kazi yake itakuwa Moja tu, nayo ni Kuwasaidia wenye Njaa" Wanyonge".
Wakenya Waliliona hilo Wakampa tajiri "Kenyatta" na Sisi Watanzania Tusijitoe Ufahamu "Lowassa" Ndio Jibu Sahihi kwa sasa.
Hii system ya Kumpa Nchi mwenye Nacho, ni ya Nchi Zilizoendelea na Manufaa yake ni Makubwa...; Sasa tukijidanganya tumpe yule Kijana ambaye hata sikumoja Hajawahi kuwa na Ndoto ya Kitambi si ndo tutakuwa Tumekwisha.
Wenye sifa ya kuwa gerezani kwa ufisadi na kulisababishia taifa hasara
Edward Lowasa
Samweli 6