Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,483
Hadi kufikia December mwaka 2015, kuna uwezekano kuona viongozi wengi sana walikuwa na matarajio ya kupata urais au uwaziri wamedondoka kwa stroke au pressure, visukari, stress, depression na kila aina. mara sijui lowasa anataka urais, mara membe, sitta, sumaye, makamba,kigwangala n.k no wote hao wanaamini wanaweza kumshinda lowasa, hivi lowasa akichukua hii nchi mbona kuna watu watahama nchi aisee, sipati picha. bahati mbaya sana inaonekana lowasa ndiye atakuwa rais pamoja na ugonjwa wanaomsingizia.