Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,019
- 831,619
Naandika mada hii nikiamini fika wahanga ni wengi kwenye hili
Ni asili yetu kupenda kukumbatiwa na kukumbatiana hasa nyakati za kulala. Lakini kwa bahati mbaya sana pamoja na uzuri wote wa kumbatio lakini halidumu zaidi ya dakika 30.. Kila mmoja hujikuta akigeukia upande wake na kutafuta usingizi kivyake.
Natambua kuna baadhi yetu wachache waliobahatika bila kukumbatiwa usingizi hauwezi kuja lakini kuna wale ambao upweke kwao ni kama chanda na pete. Hawa ndo wale wenye uraibu wa kukumbatia mito. Kitandani kwake hakosi mito mitatu
Mmoja katikati ya miguu mpaka mapajani
Mwingine kifuani ukiwa umekumbatiwa na mikono
Wa mwisho kichwani
Je, una goma jipya leo? Baada ya chausiku angalia mlalo wake.

Jr

najipangia tu leo nikumbatie upi. Na kila mmoja na rangi yake.
black city